PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
ChaiLife begins at 40
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChaiLife begins at 40
EveeeeeeKuna nguvu kubwa sana katika ukimya......
32 wala haupaswi kukata tamaa, nikuweka katiba yako tu na msimamo, kila kitu kita kaa sawa miaka miwili tu ukijizatiti unafika mbali mno.Asante saana kiongozi, umenipa nguvu saaana
KivpAcha kudanganya mwenzako
Inspiring , kumbe Mimi 24 nina bado nina nafasi kubwa ya kujipanga nilidhani nimechelewa mpaka sasa sina hata kaFerari na nyumba.
Amechelewa we unasema badoKivp
Nimemwambia hivyo kwa sababu nina uzoefu wa mimi mwenyewe kupitia kwenye hiyo njia, sena nyie vijana wadogo huwa mnafikiri maisha ni maraisi tu kama kumsukuma mlevi🤔Amechelewa we unasema bado
kukamilisha new year resolutions ni kazi mnoNataka kutisha kiongozi, yaan hapa nimeorodhesha mambo yote niliyoogopa kuyafanya huko nyuma
Natakiwa kuweka misingi nakufanya ndani ya huu mwaka..eidha nifanye au nife kiongozi.
But death is much bitter, I'm going to deal with all those
Hili unalijua wew tu! Kama uzima upo lazima nifanikiwe hakuna Cha bad energies Wala ninMwaka kesho kutwa 2026 ukitaka kufanya jambo fanya KIMYAKIMYA.Mwaka 2025 hutafanikiwa kwakua umeshaanza kuattract bad energies.
##KUFANYA MABADILIKO NA MAMBO MAKUBWA KUNAHITAJI UWE NA MDOMO MZITO NA KABA KOO!!!!
Kweli ila unajua wewe tuKuna nguvu kubwa sana katika ukimya......
Aslaam,
Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari.
Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu.
Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni.
Nimechelewa kugundua hili mpaka namaliza miaka hii(32).
Nataka niutumie mwaka wangu wa 33 kufanya Yale ambayo nimeshindwa kufanya Kwa sababu ya hofu. Kama nitaendelea kuwa na afya na uhai.
Mungu wangu nisimamie.
Huo ndio ukweli , kwa ambao tumezoeana nje ya Jf na ambao wanaona mpaka status zangu wanalijua hilo . Jf nilijiunga niko form 3 sasa nipo chuo mwaka wa mwisho.Mjomba usijidogoshee