Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Maneno haya sio mageni mjini.....Aslaam,
Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari.
Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu.
Asikuambie mtu hii kitu(hofu) ni ya kijinga saana, nakama hujaiugundua mapema inaweza kukumaliza mpka uzeeni.
Nimechelewa kugundua hili mpaka namaliza miaka hii(32).
Nataka niutumie mwaka wangu wa 33 kufanya Yale ambayo nimeshindwa kufanya Kwa sababu ya hofu. Kama nitaendelea kuwa na afya na uhai.
Mungu wangu nisimamie.
Na wahenga husema maneno yanaumba.Maneno haya sio mageni mjini.....
Hasa mwisho na mwanzo wa mwaka..
Nataka kutisha kiongozi, yaan hapa nimeorodhesha mambo yote niliyoogopa kuyafanya huko nyumaMkuu Bodhichitta unataka kufanya issues Gani ya kutisha
Ndio Bado Nina hofu, lengo langu sio kuiondoa hofu hapana nikuifanya hofu yangu inifanye nifanye hayo mambo ninayotaka kuyafanyaBado wewe subir mpaka ugonge 40 acha wasiwasi.
๐๐๐Yaani ulivyoandika tu inaonekana bado unahofu.