Nina miaka 32, nataka niutumie mwaka wa 33 kurekebisha makosa yangu yote ya nyuma

Ndio Bado Nina hofu, lengo langu sio kuiondoa hofu hapana nikuifanya hofu yangu inifanye nifanye hayo mambo ninayotaka kuyafanya
Mwaka kesho kutwa 2026 ukitaka kufanya jambo fanya KIMYAKIMYA.Mwaka 2025 hutafanikiwa kwakua umeshaanza kuattract bad energies.

##KUFANYA MABADILIKO NA MAMBO MAKUBWA KUNAHITAJI UWE NA MDOMO MZITO NA KABA KOO!!!!
 
Do or die hofu ni kitu kibaya sana asee ile hatua unayoogopa kupiga ndo yenye mafanikio hakikisha unaipiga bila hofu ila ukiipga na hofu matokeo hayaji
 
Unatusimulia Ili iweje hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…