Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

Contraband

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2021
Posts
1,036
Reaction score
2,807
Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6. Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.

Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.
 
Mbona wachache sana?Ukiwapanga wanawake hata kumi kwa siku ambao wanaweza kushika mimba ina maana kila siku watoto kumi.

Usihesabu mapacha. Sasa, turudi kwa umri wako kuanzia miaka 18,mpaka leo ungekuwa na watoto wangapi? Tulia.
Yajayo yatakupatia furaha hadi uwehuke.😂😂😂😂😂
 
Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6.

Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.

Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.
Unatunza?? Au uhuni tu, baba jina.. kulea hamna

Na Kwa ulivyoandika hapa, ni wazi hutunzi!!.
 
Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6.

Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.

Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.
Kwani wewe unawanawake wengi au unamalaya wengi? Wewe huna moral authority kutoa ushauri hapa at 32 already in the mess what can you really advise?
 
Unawalea au ndio sperm donor kama wengine?
 
Back
Top Bottom