Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

Natamani hao watoto wangekuwa wangu. Ila mama zao wangekuwa wawili tu.

Maana kila mtoto na mama yake sio kazi ndogo kudili na wanawake 6
 
Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6.

Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.

Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.
Kwa watoto hao wakasome bure shule za magu s/m had sec , then kesho jitu lije lidai maendeleo
Wakati maendeleo tunayaweka viunoni, elim ingekua inalipiwa tz isinge kuwa masikini kiasi Hiki
Na kwa akili za watanzania watoto wengi wasingeweza kusoma hata darasa moja ,
Ashukuriwe Mungu tumesoma bure otherwise hata ku type hata nisinge weza ,

Lakin tumesoma bure baada tulitumikie taifa kwa Hali na Mali anakuja kiongoz wa upinzan anakujaza maneno eti nchi haijafanya kitu, wakat Kuna watoto wanasoma bure na walim wanadai kulipwa na kupandishwa mishahara daily,

Always mim napiga Sana Hawa chadema walio kuwa wanamsema Sana magu,

Kama ingekua unalipa Ada apo ilibidi ulipe 8mil per year, Ila nothing you will pay and they will graduate up to advance level , wakutane na mkopo Tena huko,

Asee mm napenda kiongozi shupavu mwenye element za dictetar kias flan na sio uongoz peke yake wa kupka rangi ,

Karibu mwenye povu
 
Inawezekana kuwapa wanawake wanne mimba kwa mpigo, lakini probability yake ni ndogo.
 
Hao wanne hawakai Tanzania, kwa hiyo hawatasoma elimu ya bure mkuu. Na sina uhakika kama unafahamu kiasi gani cha ada nalipa kwa mwaka ndugu.

Hao wengine nina uhakika hawatasoma elimu ya bure mkuu. Ninapambana na maisha.
 
Probability ya mwanamme mmoja kuwapa mimba wanawake wanne kwa wakati mmoja ni ndogo.
Sikuamini Mimi mwenyewe mwanzo, lakini Sayansi (DNA test) inasema ni watoto wangu, na ninawalea mkuu. Kiukweli mkuu nimekuwa na wanawake wengi sana, hivyo basi, kwa hao watoto wanne wakati nina miaka 27 naamini kwa 100% ni wanangu.
 
Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6.

Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.

Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.
Mimi nina watoto 9 kwa wake wawili. Nina miaka kama yako.

Namaanisha hujielewi kijana.
 
Back
Top Bottom