Siyo wa nje ya ndoa.Si kweli mkuu, watoto ni baraka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wa nje ya ndoa.Si kweli mkuu, watoto ni baraka.
Kwa mujibu wako mwenyewe, kwa unavyopiga kavu hivyo, HIV umepima?Sikuamini Mimi mwenyewe mwanzo, lakini Sayansi (DNA test) inasema ni watoto wangu, na ninawalea mkuu. Kiukweli mkuu nimekuwa na wanawake wengi sana, hivyo basi, kwa hao watoto wanne wakati nina miaka 27 naamini kwa 100% ni wanangu.
Ndiyo mkuu, niko negative, napima kila baada ya miezi michache. Ingawa my pull out game "weak". Hahaha!Kwa mujibu wako mwenyewe, kwa unavyopiga kavu hivyo, HIV umepima?
Wingi wa mara unazopima haukusaidii kama huachi kucheza peku.Ndiyo mkuu, niko negative, napima kila baada ya miezi michache. Ingawa my pull out game "weak". Hahaha!
Ni kweli mkuu, natakiwa niwe makini sana kwa wakati huu.Wingi wa mara unazopima haukusaidii kama huachi kucheza peku.
Ukiukwaa, kupima baadaye hakutakusaidia usiwe nao.
Umepata wapi wazo, nipo hapa kuwatambia mkuu? Umejuaje nipo Dar?Yaani watoto nusu dozen ndio unakuja kututambia huku usikumani...🤨
Hivi huko Daslam wanaume mpoje lakini...!!
Asante mkuu, hakika watoto ni baraka.Hongera.
Utazeeka vibaya sanaMbona unefurahi mkuu?!
Kafyatua sana kwenye viwanja tofauti tofauti.Naona tunatekeleza ilani kwa vitendo. Kongole kwako.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa hilo unatushauri je sass?Rafiki yangu akinihadithia, kaka yao mkubwa alizaa na wanawake tofauti, watoto wengi walikua na shida mara viatu, nguo, uniforms za shule, ada, wakiugua. Chakula nk maana wengi walikimbilia kwa bibi mzaa baba.
Sasa wamekua na wengi ni waajiriwa, wamejipanga kila mtoto anarusha pesa kila mwezi kwa baba yake. Jamaa anaishi kama king sasa hivi. Wala mashangazi hawakumbukwi.
Kwa hilo unatushauri je sass?
Tatizo ni mama zao tu, hawaishiwi vitimbi na kuwagawa watoto kwa kuwatia vimaneno manenoWatunze kwa chochote ulichojaliwa na Mungu, waonyeshe upendo, jitahidi wamjue Mungu.
Hongera baharia wewe ndo unafanya kazi ya kujaza dunia sio kama sisi tunakaribia kuzeeka bado mtoto mmoja. Mimi mwenyewe naanza kufyatua wengine mwaka huuNiliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6.
Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.
Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.