Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Unatunza?? Au uhuni tu, baba jina.. kulea hamnaNiliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6.
Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.
Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.
Kwani wewe unawanawake wengi au unamalaya wengi? Wewe huna moral authority kutoa ushauri hapa at 32 already in the mess what can you really advise?Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6.
Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja.
Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one woman, kuwa na mahusiano na wanawake wengi si mambo ya mchezomchezo.
They got bright future ahead of them thats for sure.Hakikisha unawaandalia future iliyobora..sio tu unatuhesabia hapa..
Hongera
Nawalea mkuuUnawalea au ndio sperm donor kama wengine?
Hahaha.. chill bro. Nawalea vema tu. Kuja na huu ujumbe hapa haimaanishi siwatunzi.Una tunza ?? Au uhuni tu , baba jina..kulea hamna
Na Kwa ulivyoandika hapa ,niwazi hutunzi !!.
Thanks sisKeep it up bro