Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

Hongera! Kupanga ni kuchagua, Pole kwa viumbe visivyo na hatia, kujikuta katika maisha yasiyoeleweka, inasikitisha!
 
kuishi tunajua kila mtoto ataishi, cha msingi pambana waishi vizuri.
 
Nawapenda sana watoto wangu, sitompa mtu yeyote nafasi ya kuwatumikisha.
Aisee...Sasa unakazi nao Gani ??!!
Sana sana watakuwa wanakumalizia uji uji na ugali wako wa Dona + MAHARAGE meusi .....[emoji57]
Joke ww zalisha tu
 
wachache sanaa kwa umri wako, ilitakiwa angalau 15 hivi ndo urudi humu
 
Mwanangu inabidi uende kwenye kipindi cha salama na ukatuwakilishe mabaharia.
 
Kuna kitu nilijifunza kwenye maisha, wewe ndiyo unaweza kuamua kufurahia maisha yako ama kuwa na sonona, cha msingi jiandae mkuu, mpaka unazeeka bado una miaka mingi sana, kwa hiyo tafuta hela, wape maisha bora.
 
ukisikia watu wa pwani wanaimba "mwanaume mashine" ujue ndio mashine yenyewe!. 32 vs 8?, hatari na hongera sana kwako, hakikisha watoto wako wanapata huduma kamili na safi yaani chakula, malazi na mavazi. Ukishindwa hapo wanakuwa machokolaa na ombaomba, kama hujiwezi kiuchumi tafadhali jicontrol hasa hicho kiungo kojozi maana bado una safari ndefu sana. Kama bado hujaoa chagua mama watoto wako mmoja wapo umuoe kwa ndoa usije ukaoa mwanamke mwengine ambae hujazaa naye...mm nakushauri tu!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…