Nina miaka 33 lakini naonekana nina miaka 25. Huu ndio mtindo wa maisha yangu pengine unaweza kukusaidia usizeeke haraka

Mimi nina miaka 30 ila niko kama miaka 12 ndio nabalehe.
Yaani nimepita wengi kumbe humu kwa uchanga wa mwili.
 
Uzi bila picha ni kujifariji tu. Ushazeeka hadi vuzi eti 25 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa miaka 33 ndo unajiona umekuwa mtu mzima wakati bado unanuka maziwa mdomoni kwa andiko lako!
 
sawa ila utazeeka tu ndugu.
 
Namiaka 37 naonekana nina miaka 25 natomba sana na bia nakunywa nikipata elfu 10 ni nyama na maziwa
 
Mimi sinywi maji kabisa yaani nayaona kama dawa na maisha yanaenda na kustaafu nimekaribia
 
Kwamba hili nalo linasababisha uonekane una miaka 25 badala ya 33 uliyo nayo!!!!!

What a braggart
 


Miaka 34 kuonekana 25 sio maajabu

 
Mie nina miaka 70 lakini naonekana kama vile nina miaka 50 na hakuna la ajabu bali maumbile na majaliwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…