Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
I gat you grandpa..... Itabd nikuletee matunda[emoji1787][emoji1787] joke...[emoji16][emoji16][emoji16] Flexibility
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I gat you grandpa..... Itabd nikuletee matunda[emoji1787][emoji1787] joke...[emoji16][emoji16][emoji16] Flexibility
Sasa picha mbili ikiwepo enzi una 25 na ya sasa ukiwa na 33 ziko wapi?Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.
Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia.
Mtindo wangu wq maisha;
- Naoga maji yabaridi kipindi cha joto na vuguvugu kipindi cha baridi, nachoamini maji yamoto ukitumia kwa muda mrefu sana yanaharakisha ngozi kutepea.
- Nakunywa lita 1 mpaka 2 za maji kila siku bila kukosa.
- Vilevi natumia kwa kiasi na ni baada ya kumaliza majukumu ya kazini, kifamilia, mazoezi, n.k. Kilevi sio kipaumbele ila ni jambo la ziada tu, natumia kwa kiasi mara 2 kwa wiki kwa kiasi kidogo tu.
- Mazoezi ni lazima nikimbie kila siku asubuhi na hii naifanya tangu nikiwa na miaka 16, sijaanza ukubwani.
- Supendi kuwa mtu wa masikitiko ama mawazo na stress, pale mambo mabaya yakiniandama sipendi kujifungia, nipo radhi niende hata viwanja vya mazoezi ama mtaani nipige stori hata ziwe za siasa ilimradi akili isimezwe na majonzi.
- Chakula pekee nachokula ni cha nyumbani tu, ni aidha nirudi nyumbani kula, nikibebe ama niletewe kazini, binafsi hata kiwe chakula cha hoteli sinaga imani nacho sana na huwa ni mara chache kukitokea dharura.
- Watu wote kwangu ni sawa tu, sina ile kwamba nimdharau fulani kisa anauza nyanya gengeni ama nimheshimu sana flan kisa ana maghorofa mengi, nami naishi kawaida japo naweza kuishi maisha ya juu kimtindo, namheshimu anaeniheshimu bila kujalinhali yake.
[emoji1787][emoji1787]lipia tangazo
Kuna kitu hujui......Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.
Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia.
Mtindo wangu wq maisha;
- Naoga maji yabaridi kipindi cha joto na vuguvugu kipindi cha baridi, nachoamini maji yamoto ukitumia kwa muda mrefu sana yanaharakisha ngozi kutepea.
- Nakunywa lita 1 mpaka 2 za maji kila siku bila kukosa.
- Vilevi natumia kwa kiasi na ni baada ya kumaliza majukumu ya kazini, kifamilia, mazoezi, n.k. Kilevi sio kipaumbele ila ni jambo la ziada tu, natumia kwa kiasi mara 2 kwa wiki kwa kiasi kidogo tu.
- Mazoezi ni lazima nikimbie kila siku asubuhi na hii naifanya tangu nikiwa na miaka 16, sijaanza ukubwani.
- Supendi kuwa mtu wa masikitiko ama mawazo na stress, pale mambo mabaya yakiniandama sipendi kujifungia, nipo radhi niende hata viwanja vya mazoezi ama mtaani nipige stori hata ziwe za siasa ilimradi akili isimezwe na majonzi.
- Chakula pekee nachokula ni cha nyumbani tu, ni aidha nirudi nyumbani kula, nikibebe ama niletewe kazini, binafsi hata kiwe chakula cha hoteli sinaga imani nacho sana na huwa ni mara chache kukitokea dharura.
- Watu wote kwangu ni sawa tu, sina ile kwamba nimdharau fulani kisa anauza nyanya gengeni ama nimheshimu sana flan kisa ana maghorofa mengi, nami naishi kawaida japo naweza kuishi maisha ya juu kimtindo, namheshimu anaeniheshimu bila kujalinhali yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Boss gani mkorofi hivi nimecheka kis*ng*Ona kenge hii