Nina miaka 33 lakini naonekana nina miaka 25. Huu ndio mtindo wa maisha yangu pengine unaweza kukusaidia usizeeke haraka

Sasa
Sasa picha mbili ikiwepo enzi una 25 na ya sasa ukiwa na 33 ziko wapi?
 
Mimi nina 36 lakini naonekana nina 25.Sijui kwanini inakuwa hivi?
 
Kuna kitu hujui......
Usile chakula usiku......
Usile tumbo likajaa.....kula kidoogo
Asubuhi kunywa maji kabla ya kupiga mswaki....
Fanya ibada....
Pombe usiguse kabisaaaaa
Kula mboga za majani na matunda mixer
USITOMBE
 
Aliyeanzisha uzi yuko wapi jamani 🙌🙌
 
Kawaida nina 35 nakataliwa wanadai nina 27
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…