Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,468
- 2,767
Imebidi nicheke tu [emoji23][emoji23]Maduka 11 umefilisika kizembe sana moja tu likianzakudorora inabidi ushtuke ,nakuanza kutafuta pancha ilipo uzibe upepo usitoke, tena haraka ukipunguza matumizi kwa asilimia 50 mpaka utakaporejea sawa, sasa maduka 11 yanaisha upo tu,. Basi kuna mawili unanyota ya umaskini huo utajiri ulilazmisha, pili umemkosea Mungu sana, tatu uchawi, kama ni kwaakili yako timamu hayo hayapo maduka 11 yakaisha wewe ni bwege sana,. Nipo kwenye shida ila siwezi kuwa na maduka matano tu alafu nifilisike eti.
Aisee maisha yana mengi mkuu na hayapo kama uliyoandika hivi, maybe hujapitia changamoto za kuishiwa huku ukishuhudia kabisa.
Kupata na kupoteza ni jambo la kawaida japo kupoteza huwa inauma sana ila kikubwa ni kutokata tamaa.