Nina miaka 45, nimeshafungua maduka 11 sasa nimefilisika

Imebidi nicheke tu [emoji23][emoji23]

Aisee maisha yana mengi mkuu na hayapo kama uliyoandika hivi, maybe hujapitia changamoto za kuishiwa huku ukishuhudia kabisa.

Kupata na kupoteza ni jambo la kawaida japo kupoteza huwa inauma sana ila kikubwa ni kutokata tamaa.
 
Unatumia kiasi kubwa Cha matumizi hasa Kodi funga maduka yote Baki na mawili ambalo moja utakaa mwenyewe lingine Kama unamke akae yeye hapo utaweza kujigawa mkuu hakuna mchawi hapo Ila ni ww mwenyewe
 
K
Kawaida maisha kupanda na kushuka
 

Shida ni kuhonga
 
Pole saa mkuu!
Ila tambua biashara japo hazitaji degree wala masters, lakini zina maujanja na mbinu zake, ndo maana unawezakuta mtu hakuwa vizuri shule lakini kwenye biashara amefanikiwa pakubwa!
Jambo la msingi unapokuwa na biashara, anza na ulinzi wa biashara yako kutegemea na imani yako! Kama una imani mbele za Mungu mtangulize yeye katika biashara zako na uishi kadri ya misingi ya sheria zake, lakini usimtaje Mungu kwa jina tu wakati huishi katika sheria zake, hapo mkono wake utakuwa mbali nawe!
Otherwise watafute wataalam wa upande wa pili, wanaweza kukusaidia kadri ya imani yako, tambua kuwa katika bishara si kila mteja anayekuja kwako ni mtu salama, vibaka ni wengi kuliko wateja halisi na humo wapo wa chuma ulete, utafanya biashara lakini pesa huioni na hujuwi inakwenda wapi mpaka unakuja filisika ndipo unashtuka!
baada ya ulinzi ni kujua wateja wako wanataka nini? Je mazingira na muda uliopo vinataka biashara gani? Hapo epuka kung'ang'ania biashara , hata kama ulishaikatia vibali vya mwaka mzima kama inazingua ni vizuri kubadilisha kabla haijakufilisi!
Kuwa mtu wa kutafuta taarifa nyingi kuhusu biashara yako, na ikibidi badili biashara au hama eneo!
 
Ulikuwa unafanya biashara gani kwenye hayo maduka yako na kuanzia 1994 hadi 2016 ulikuwa ukijihusisha na biashara gani na wapi? Kwa kujua hayo machache, naweza kujua wapi nianzie kwa ajili ya kukupa ushauri wangu.
Nilianza biashara pemba mwaka 94 nikahamia dar mwaka 2007 mambo yaliponichanganyia.
 
Mkuu ukipata mtihani wa kufilisika ndio unajua ndugu na marafiki wanakukwepa mbali sana
 
Tatizo lako ni sifa za kulipa kodi kama juha, mtaji wako kazi yako kodi unalipa ya nini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…