permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Naombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.
Nahisi kukata tamaa kabisa na haya maisha. Mliokwisha pitia hali kama hii yangu kwenye umri huu na ukawa kwenye maisha kama haya, ilikuwaje? Naombeni mnisaidie kimawazo.
Kuna muda natamani hata corona ije upande wangu, nahisi kukata tamaa kabisa.
Sina kazi, sina kibarua kabisa. Maisha yamekuwa magumu sana upande wangu.
Karibuni kwa mawazo yenu, wakuu.
Kwa mwanamke awe na K tu, hayo mengine ni ya ziada. Mshukuru Mungu kwa hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umri wangu 25
Sina physically Assert ya maana yoyote kwasasa, ila hadi kufika 30 age, utajiri wangu wote wa Assert na Cash hautapungua minimum ya Million 300 (300M) na sivinginevyo labda mungu awe na ghadhabu na mimi.
Yote kwa yote Mungu ndio mjuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhari notification imekaa sawa kwenye App, hongera Quote yako imekuwa ya kwanza kupokea kwa notification.
Haha huu msemo anapenda kuongea jamaa mmoja mtaani, anasema “Bakhresa hawezi firisika mpaka akakosa pesa ya unga labda Mungu awe ameghadhibika nae”Kwamba labda Mungu awe na ghadhabu nae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]humu kuna watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umenichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha huu msemo anapenda kuongea jamaa mmoja mtaani, anasema “Bakhresa hawezi firisika mpaka akakosa pesa ya unga labda Mungu awe ameghadhibika nae”
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhari notification imekaa sawa kwenye App, hongera Quote yako imekuwa ya kwanza kupokea kwa notification.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hii kitu inapoteza vijana wengi sana mkuu, katika maisha yangu sikuwahi kuwaza ipo siku ntakaanga kitimoto na kuwafungulia watu bia. Ila ilifikia stage nikaona i have to do something for my self-development.
Hawa watu wapo sana, mie hupenda kuwaita chawa ama watu wa kujikomba komba. Al Haji Bashite ni mfano hai kabisa wa watu wa design hii.Fanya tathmini juu ya mahusiano yako na jamii inayokuzunguka. Kwa muda mrefu unakuwa na watu wa aina gani. Kuna wengi wamefanikiwa kwa mtaji wa adabu, utii, nidhamu, bidii na uaminifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muombe Bwana Mungu wakoNaombeni msaada wenu wakuu ambao waliokwisha pitia hali kama hii ninayopitia mimi. Nina miaka 30 na kitu, sina ninachomiliki zaidi ya godoro langu, radio ndogo ya muziki, vyombo vya udongo ndani ya beseni pamoja na nguo zangu.