Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah hii kitu inapoteza vijana wengi sana mkuu, katika maisha yangu sikuwahi kuwaza ipo siku ntakaanga kitimoto na kuwafungulia watu bia. Ila ilifikia stage nikaona i have to do something for my self-development.
Maisha yatatukaza always cha msingi ni kubadilisha style tu ya kupigwa mashine ili usiumie sana ila kukazwa kupo pale pale.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]