Kuamia ndio mdudu gani? Tuanzie hapo kwanza.Wakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada.
Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second.
Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?
Ahaa!! ahaa!!. Hii ndio JF no stress.Usiende huko Urusi inampango wa kuzifumua hizo Nchi nenda Mbarali kalime mpunga kwanza wakati unaskilizia.
Milioni 12 ni kama dola za Kimarekani 5124 kwa rate za leo, hiyo hela kwa bajeti za miji mikubwa si kubwa kama Tanzania.Mkuu shilingi milion 12 ni kama dola 5000 tu za kimarekani, kama utafikia kwenye majiji makubwa kama New york, Toronto, LA n.k sidhani kama inaweza kukutosha, ngoja wanaoishi huko waje kukusaidia.
Kiranga msaada tafadhali.
music mimi chukua points hapa.Milioni 12 ni kama dola za Kimarekani 5124 kwa rate za leo, hiyo hela kwa bajeti za miji mikubwa si kubwa kama Tanzania...
"Limbukeni ni Limbukeni" -- OG Syllo"Mtoto, ni mtoto tu" -- Dr. Remmy.
Ha ha. Nimemkatisha vipi tamaa?Connection ni connection tu hata iwe ya gari, nyumba au ugali wa kizungu...
Sasa nawe, nilichosema si ni hicho hicho? Unachotaka kubisha ni nini?"Mtoto, ni mtoto tu" -- Dr. Remmy.
Connection ni connection tu hata iwe ya gari, nyumba au ugali wa kizungu.
Unatamani ningekuwa nimefanya hivyo, ili uwe ndio mkweli zaidiUsimkatishe tamaa mdau maisha ni popote ndiyo uraia wa ulimwengu unavyoanza huo.
me no know umeleta hayo ya nini wakati mada inadai ushauri.Leo Rusesabagina yuko huru toka kwenye meno ya pk shukurani kwa kuwa raia wa ulimwengu. Makapuku wangapi madhila yao hayatakaa yajulikane?
Hakuna lelote lile nililobandika lenye kushawishi asiende huko. Aende tu akirudi atatuhadithia kama Lema.Aende kamanda yeye ni hazina.
"Limbukeni ni Limbukeni" -- OG Syllo
Ha ha. Nimemkatisha vipi tamaa? Na maneno ya Lema?, tena kwa majibu yako hakuna tabu....ila kwa vile Syllo kasema imekuwa nongwa....
Umetoa dukuduku lote lakini?
Kumbe huwa mnaelewa ulimbukeni ni ulimbukeni tu.
Mada imeomba ushauri. Nimetoa ushauri niwezavyo, tena kwa kutumia maneno yako mwenyewe, unanuna!4. Kulikoni kujimwambafy hivi kutokea Nanjilinji huko? Kwani wewe ndiyo mwenye ufunguo wa mwamba kuondokea?
Hiiiiiiii bagosha!
UmeelezeaIna weza kusaidia...
Fanya upembuzi yakinifu wa....
1. Nauli
Wivu, Chuki na Husda.Sijajua watu wana tatizo gani aisee why wakisikia US au nchi zilizopiga hatua wanakuwa wakali sana? Maana sijaona mantiki ya watu kunikejeli.
Ndivyo wabongo walivyo hawako serious na lolote.Sijajua watu wana tatizo gani aisee why wakisikia US au nchi zilizopiga hatua wanakuwa wakali sana? Maana sijaona mantiki ya watu kunikejeli.