Nina mil 12. Je, inatosha mimi kuhamia Marekani au Canada?

Nina mil 12. Je, inatosha mimi kuhamia Marekani au Canada?

Wakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada.

Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second.

Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?

Inatosha ku:

Ukijipanga:

1. Tafuta chuo cha mchongo.
2. Kupata visa.
3. Nauli....

Ukifika huko: Mapambano yako counts.....

1. Ndoa fake kupata green card $3500.
2. Usizarau kazi, chinja hata Kuku....
3. Usiendekeze starehe....

Swali: Kwa nini usumbuke kwenda Marekani au Canada? Kuna ka upweke na maisha siyo mepesi......

Kila la heri.
 
Hivi upweke upo kweli maana nalisikia Sana hili me nilijua Wana enjoy life tu
 
Ok nimekusoma kiongozi. Utaomba chuo kikuu au hivi vya vocational? Unaweza nisaidia baadhi ya vyuo na course nazoweza kuomba inbox? Maana hapa naona roho za kwa nini zimetawala uzi.
Poland wanabei rahisi hadi mil5 vyuo vyao sema bank statement huwa wanaomba sometime ku-prove kama unaweza kujigharamia maisha
 
diaspora people kama hawaoni uzi vile, roho mbaya tu shenz! Toeni connection kwa mwamba!
Watanzania ni watu wenye roho mbaya sana. Ndio maana tupo wachache diaspora. Walobahatika kwenda wanataka wabaki kama mashujaa kuja kusema wabongo tumelala hatuchangamkii fursa za nje. West Africa wapo vizuri kwenye kuinuana.
 
Hivi upweke upo kweli maana nalisikia Sana hili me nilijua Wana enjoy life tu

Kuna upweke sana, halafu kurudi huku gharama, hawa ndugu zako usiwachukulie poa....

Sababu ingine, visa ikikaa vibaya kurudi Tanzania huwezi, kuna watu wamekaa huko miaka 15 bila kurudi....
 
Ndivyo wabongo walivyo hawako serious na lolote.

Vsa process: 2.5m
Nauli: 6m
Nyumba 3 months: 6m
Chakula 3 months: 3m
Mengineyo 3 months: 3m

Total: 20.5m

Ukichukua tourist visa unapaswa uwe na hiyo 20m tena hapo upate pa kushukia pa bei rahisi sana, kama una ndugu au rafiki basi ondoa gharama za nyumba. Ubalozi unataka kuona salio kwenye bank yako angalau USD 10. Hivyo kiuhalisia 12m ni ndogo unapaswa kuwa na >20m.
Alikudanganya nani habari hizi? Hakuna Mbongo angeweza kwenda Marekani labda wale wa Masaki tu.

Kitu kama hujui lolote kaaa kimya tu.
 
diaspora people kama hawaoni uzi vile, roho mbaya tu shenz! Toeni connection kwa mwamba!

Comment yako ni ya 60, umesoma comments za juu?

Unataka watoe connection gani zaidi ya comments 59 zilizopita?

Hapa JF Kuna nyuzi zaidi ya 100 zinazojadili jinsi ya kwenda nje a quick search angepata majibu yote na bado watu wamechangia hapa. Unataka connection gani zaidi? Unataka diaspora wawatafutie Hadi passport au?

EBM anatoa free knowledge on YouTube na bloggers wengine jinsi ya kwenda nje, hiyo sio connection?

Kimsingi kwenda nje is as easy as ABC. Nilienda bila connection yeyote ile maelezo yote yapo kwenye websites za nchi husika na bado watu tunachangia mawazo yetu, bado mnalalamika. Unataka diaspora wakupe hela kabisa au connection gani?

Wabongo punguzeni kulalamika kiboya maisha yako ni jukumu lako, kusaidiana kupo ila sio wajibu.
 
Ndivyo wabongo walivyo hawako serious na lolote.

Vsa process: 2.5m
Nauli: 6m
Nyumba 3 months: 6m
Chakula 3 months: 3m
Mengineyo 3 months: 3m

Total: 20.5m

Ukichukua tourist visa unapaswa uwe na hiyo 20m tena hapo upate pa kushukia pa bei rahisi sana, kama una ndugu au rafiki basi ondoa gharama za nyumba. Ubalozi unataka kuona salio kwenye bank yako angalau USD 10. Hivyo kiuhalisia 12m ni ndogo unapaswa kuwa na >20m.

Nonsensical.
 
Watanzania ni watu wenye roho mbaya sana. Ndio maana tupo wachache diaspora. Walobahatika kwenda wanataka wabaki kama mashujaa kuja kusema wabongo tumelala hatuchangamkii fursa za nje. West Africa wapo vizuri kwenye kuinuana.

I call this nonsense. Humu humu JF Kuna watu tumesaidiana personally na wao walicheza sehemu zao na Sasa wapo mbele.

Hapa JF Kuna nyuzi zaidi ya 100 zinazojadili jinsi ya kwenda nje, a quick search angepata majibu yote na bado watu tumechangia huu uzi. Unataka connection gani zaidi?

EBM anatoa free knowledge on YouTube na bloggers wengine jinsi ya kwenda nje, hiyo sio connection?

Hii notion kwamba wabongo ni wachoyo is outright nonsense unless huyo mtu anataka afanyiwe Kila kitu na mvivu kutake action. Unaweza mpeleke ng'ombe mtoni ila akagoma kunywa maji Hiki ndo kinachotokea then wanageuka na kusema diaspora wachoyo. Unataka msaada gani zaidi?

Kimsingi kwenda nje is as easy as ABC. Nilienda bila connection yeyote ile maelezo yote yapo kwenye website za nchi husika ila bado watu tunatoa mawazo yetu na bado mnalalamika. Unataka diaspora watoe hela kabisa au connection gani? Kuna watu wanataka Hadi passport uwaombee huyu nae anasema diaspora wachoyo.

Wabongo punguzeni kulalamika kiboya, JF Kuna more than 100 threads, YouTube ipo, website za nchi husika zipo, tunajitoa as much as we can but we can only do so much. Maisha yako ni jukumu lako, kusaidiana kupo ila sio wajibu.
 
Back
Top Bottom