Comment yako ni ya 60, umesoma comments za juu?
Unataka watoe connection gani zaidi ya comments 59 zilizopita?
Hapa JF Kuna nyuzi zaidi ya 100 zinazojadili jinsi ya kwenda nje a quick search angepata majibu yote na bado watu wamechangia hapa. Unataka connection gani zaidi? Unataka diaspora wawatafutie Hadi passport au?
EBM anatoa free knowledge on YouTube na bloggers wengine jinsi ya kwenda nje, hiyo sio connection?
Kimsingi kwenda nje is as easy as ABC. Nilienda bila connection yeyote ile maelezo yote yapo kwenye websites za nchi husika na bado watu tunachangia mawazo yetu, bado mnalalamika. Unataka diaspora wakupe hela kabisa au connection gani?
Wabongo punguzeni kulalamika kiboya maisha yako ni jukumu lako, kusaidiana kupo ila sio wajibu.