Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Mkuu mimi natafta m5 niende, mhimu tafta sehemu ambayo ukifika ni rahisi kupata vibarua, kuna wana wapo huko wameenda kwa kulipia kiasi kidogo cha hela ya chuo ili kupata admission kama njia ya kuingia huko walipofika walianza kujisomesha binafsi nataka nitumie cha form four niombe certificate ili ada iwe ndogo nijilipie ya kuanzia nikifika kitaelewekaWakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada.
Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second.
Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?