Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Mkuu mimi natafta m5 niende, mhimu tafta sehemu ambayo ukifika ni rahisi kupata vibarua, kuna wana wapo huko wameenda kwa kulipia kiasi kidogo cha hela ya chuo ili kupata admission kama njia ya kuingia huko walipofika walianza kujisomesha binafsi nataka nitumie cha form four niombe certificate ili ada iwe ndogo nijilipie ya kuanzia nikifika kitaelewekaWakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada.
Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second.
Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?
Kwa maisha ya huku, hela hiyo ni ndogo sana.Ungesema walau 25 au 30 milioni inaweza kusogeza siku.Mkuu shilingi milion 12 ni kama dola 5000 tu za kimarekani, kama utafikia kwenye majiji makubwa kama New york, Toronto, LA n.k sidhani kama inaweza kukutosha, ngoja wanaoishi huko waje kukusaidia.
Kiranga msaada tafadhali.
Wewe ulienda na ngapi?Kwa maisha ya huku, hela hiyo ni ndogo sana.Ungesema walau 25 au 30 milioni inaweza kusogeza siku.
Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Mada imeomba ushauri. Nimetoa ushauri niwezavyo, tena kwa kutumia maneno yako mwenyewe, unanuna!
Wewe ndie unadai 'mwambi nini sijui' mara Rusebagosha mie na hao kina Ruse wapi na wapi?
Yaani umejaa dukuduku....haya basi maliza hizo dukuduku chini hapa👇
tuendelee kutoa ushauri atakao elewa mleta mada. Vinginevyo usinyong'onyee.
Wakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada.
Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second.
Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?
Kodi ya miezi mitatu hiyo 😂Pesa ya wiki moja hiyo kwa matumizi ya kule
Kutua tu inatosha hata bila hata miana kama atafikia majiji kama new york, Atlanta, manhattan, chicago, florida, au Texas basi amekwisha!!! hiyo itakua ni pesa ya chai tu.
Bufa uje huku mkuu
Sawa mkuu hapo utakua umemfungua akili walau amepata Mwanga,To answer his question, inatosha kabisa.
Unahitaji pesa ya process za kuja kama visa na nauli tu, mambo mengine yatafunguka mbele ya safari msitishane.
Watu wamefika hawana hata hela ya bus kuwatoa airport sembuse wewe mwenye 12M.
Apply visa, kata ticket, sepa don't overthink.
Sijaelewa hapo kuhusu travel history mkuuFutafute travel History jaman, pia nakushauri uombe chuo hata training institute
Asante sana kwa ushauri. Unashauri niombe visa ya namna gani ili kupunguza ugumu?To answer his question, inatosha kabisa.
Unahitaji pesa ya process za kuja kama visa na nauli tu, mambo mengine yatafunguka mbele ya safari msitishane.
Watu wamefika hawana hata hela ya bus kuwatoa airport sembuse wewe mwenye 12M.
Apply visa, kata ticket, sepa don't overthink.
Udhamini pamoja na 26 milioni enzi hizo 2004.Wewe ulienda na ngapi?
Ok nimekusoma kiongozi. Utaomba chuo kikuu au hivi vya vocational? Unaweza nisaidia baadhi ya vyuo na course nazoweza kuomba inbox? Maana hapa naona roho za kwa nini zimetawala uzi.Mkuu mimi natafta m5 niende, mhimu tafta sehemu ambayo ukifika ni rahisi kupata vibarua, kuna wana wapo huko wameenda kwa kulipia kiasi kidogo cha hela ya chuo ili kupata admission kama njia ya kuingia huko walipofika walianza kujisomesha binafsi nataka nitumie cha form four niombe certificate ili ada iwe ndogo nijilipie ya kuanzia nikifika kitaeleweka
Inatakiwa kuwa na mdhamini wa aina gani? Hiyo mil 26 ndio ilikuwa kwenye bank statement?
Mwezi moja na nusu kwa hela hiyo. Unayetaka kuja huku usije utasumbua wenyeji wako kama unao.Hiyo ni kama pesa ya kuishi kwa mwezi mmoja na nusu. Rent, food, public transport, matibabu ndiohutaweza nk. Baki bongo jipang e. Nauli is not inlusive
Wapo wengi; kama vile chuo, taasisi za dini, jamaa, rafiki, ndugu, kupitia warsha na makongamano ya dini n.k.Inatakiwa kuwa na mdhamini wa aina gani? Hiyo mil 26 ndio ilikuwa kwenye bank statement?