music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
- Thread starter
-
- #61
Nimekusoma kiongozi. Asante sanaWapo wengi; kama vile chuo, taasisi za dini, jamaa, rafiki, ndugu, kupitia warsha na makongamano ya dini n.k.
Hiyo 26 milioni ilikuwepo ndio kwenye benki/statment.
Nilipambana haswa kuipata.
Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
Wakuu mimi nna ndoto ya kuishi nje ya nchi haswa Marekani au Canada.
Nimepambana kwa muda mrefu nipate scholarship za huko ila ni tough haswa kwa sisi wenye GPA za lower second.
Nna million 12 fulani kibindoni vipi inatosha kutimiza ndoto? Njia ya kwenda huko nyepesi ni hipi?
Hivi upweke upo kweli maana nalisikia Sana hili me nilijua Wana enjoy life tuInatosha ku:
Ukijipanga:
1. Tafuta chuo cha mchongo.
2. Kupata visa.
3. Nauli....
Ukifika huko: Mapambano yako counts.....
1. Ndoa fake kupata green card $3500.
2. Usizarau kazi, chinja hata Kuku....
3. Usiendekeze starehe....
Swali: Kwa nini usumbuke kwenda Marekani au Canada? Kuna ka upweke na maisha siyo mepesi......
Kila la heri.
Poland wanabei rahisi hadi mil5 vyuo vyao sema bank statement huwa wanaomba sometime ku-prove kama unaweza kujigharamia maishaOk nimekusoma kiongozi. Utaomba chuo kikuu au hivi vya vocational? Unaweza nisaidia baadhi ya vyuo na course nazoweza kuomba inbox? Maana hapa naona roho za kwa nini zimetawala uzi.
Watanzania ni watu wenye roho mbaya sana. Ndio maana tupo wachache diaspora. Walobahatika kwenda wanataka wabaki kama mashujaa kuja kusema wabongo tumelala hatuchangamkii fursa za nje. West Africa wapo vizuri kwenye kuinuana.diaspora people kama hawaoni uzi vile, roho mbaya tu shenz! Toeni connection kwa mwamba!
Hivi upweke upo kweli maana nalisikia Sana hili me nilijua Wana enjoy life tu
Alikudanganya nani habari hizi? Hakuna Mbongo angeweza kwenda Marekani labda wale wa Masaki tu.Ndivyo wabongo walivyo hawako serious na lolote.
Vsa process: 2.5m
Nauli: 6m
Nyumba 3 months: 6m
Chakula 3 months: 3m
Mengineyo 3 months: 3m
Total: 20.5m
Ukichukua tourist visa unapaswa uwe na hiyo 20m tena hapo upate pa kushukia pa bei rahisi sana, kama una ndugu au rafiki basi ondoa gharama za nyumba. Ubalozi unataka kuona salio kwenye bank yako angalau USD 10. Hivyo kiuhalisia 12m ni ndogo unapaswa kuwa na >20m.
Asante sana kwa ushauri. Unashauri niombe visa ya namna gani ili kupunguza ugumu?
diaspora people kama hawaoni uzi vile, roho mbaya tu shenz! Toeni connection kwa mwamba!
Ndivyo wabongo walivyo hawako serious na lolote.
Vsa process: 2.5m
Nauli: 6m
Nyumba 3 months: 6m
Chakula 3 months: 3m
Mengineyo 3 months: 3m
Total: 20.5m
Ukichukua tourist visa unapaswa uwe na hiyo 20m tena hapo upate pa kushukia pa bei rahisi sana, kama una ndugu au rafiki basi ondoa gharama za nyumba. Ubalozi unataka kuona salio kwenye bank yako angalau USD 10. Hivyo kiuhalisia 12m ni ndogo unapaswa kuwa na >20m.
Ujinga wako ni mkubwa.Alikudanganya nani habari hizi? Hakuna Mbongo angeweza kwenda Marekani labda wale wa Masaki tu.
Kitu kama hujui lolote kaaa kimya tu.
Una maelezo yoyote au hujui chochote na hupendi kuona mwenzako anafanikiwa.Nonsensical.
Wabongo hawasafiri sana sasa watachangia niniUkienda forum za nigeria ,kenya ,south Africa
Uzi kama huu unachangiwa na watu wanaojua sasa njoo bongo mtu anaongea upupu tu sababu anakula na kushiba lakini hana hela pamoja na kuwa chawa wa watu
Watanzania ni watu wenye roho mbaya sana. Ndio maana tupo wachache diaspora. Walobahatika kwenda wanataka wabaki kama mashujaa kuja kusema wabongo tumelala hatuchangamkii fursa za nje. West Africa wapo vizuri kwenye kuinuana.
Sio kweli. Hiyo ni bajeti ya vibopa wa huko. Acha kuikuza US kiasi hicho.Mil 200 ni bajeti ya mwezi - kuishi NewYork
Labda ukawe homeless