Nina mil 12. Je, inatosha mimi kuhamia Marekani au Canada?

Una maelezo yoyote au hujui chochote na hupendi kuona mwenzako anafanikiwa.

Nishatoa maelezo yangu nisome juu pale. Tushasaidia watu wenye hela less than that. Wewe hiyo figure yako 20M is straight up bull crap na kutisha watu kiboya.
 
diaspora people kama hawaoni uzi vile, roho mbaya tu shenz! Toeni connection kwa mwamba!
Connection ipi? Sio roho mbaya ila wabongo nao ni mtihani ukimkaribisha wakati anasoma ramani ili ajichanganye kimaisha.

Utaletewa kesi mpaka utajuta za makosa ya kuvunja sheria za nchi kwa mgeni wako mbongo (ingawa sio wote vimeo).

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Acha aje ajionee, baada ya muda ata-cope mazingira, hatakumbuka kurudi kwao tena.

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania ni watu wenye roho mbaya sana. Ndio maana tupo wachache diaspora. Walobahatika kwenda wanataka wabaki kama mashujaa kuja kusema wabongo tumelala hatuchangamkii fursa za nje. West Africa wapo vizuri kwenye kuinuana.
Mmojawapo wewe una roho mbaya. Mimi nilianzia maisha Iowa kama 2 years nikahamia kwa wajanja zaidi wa ulimwengu, mitaa karibu ya skid row down town.

Sent from my CPH2127 using JamiiForums mobile app
 
Hivi upweke upo kweli maana nalisikia Sana hili me nilijua Wana enjoy life tu
Kuna upweke zaidi ya Bongo weekend wenzako wako beach Kidimbwi wewe hata pesa ya bundle huna?

Nisaidieni jamani, hivi huko liquor store zimefungwa hadi uwe mpweke? Hakuna internet? Hakuna strip show? Hakuna Cinema theatre? Hakuna disco tech?
 
Noted Mkuu 👍
 
Nna rafiki yuko state ya Oklahoma , Marekani,unaweza nicheck nkakupa namba yake , akakupa ABC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…