Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

Wadau, salaaam?

Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu.

Ushauri pls..
Kama hio ndio investment yako ya kwanza kubwa.. haijalishi una milion 30 au million 100. Most likely utaipoteza tu. Business success ni zaidi ya kuwa na mtaji. Na pia ww uko passionate na kitu gani? Utanunua coaster.. na utapata hasara tu. Kujenga.. haitoshi.
 
Ndani ya mwezi ni kuigawa mafungu 30! Ingiza 1M kwenye account ya 1XBet na uhakikishe kila siku una odds 2.3 katika mchezo wowote ule!

Ukiweza ku maintain odds hizo kwa siku 30 utakuwa umeshafikia lengo tayari!
 
Tumia milion 2 ufanye biashara ndogo ya chakula.. halafu uone kama itakuingizia faida yeyote. Usiewekeze yote.. na hata nusu usiwekeze. Wekeza maximum 5 million kwanza. Utapata hasara na utajifunza
 
Ndani ya mwezi ni kuigawa mafungu 30! Ingiza 1M kwenye account ya 1XBet na uhakikishe kila siku una odds 2.3 katika mchezo wowote ule!

Ukiweza ku maintain odds hizo kwa siku 30 utakuwa umeshafikia lengo tayari!
My withdraw kisanga mpaka benk
 
Kanunue mashamba bagamoyo ulime hutojuta
 
Nenda mbagala au cyanika,nunua uwanja jenga mjengo wako kwa bajet yako hiyo ya 30m utatoa kitu kikali sana,zingatia finishing iwe kali sana,kwenye tofali usiwaze unachukua hata za 700 au
800...ardhi ya maeneo hayo inaruhusu hata usipoweka mkanda wa chini,utapiga linta tu tena kokoto ubuyu,hela km ipo ndani ya huo mwezi mpaka umeme unapata kikubwa nguzo iwe jirani...maji unachimba kisima cha mkono tu mita 10 maeneo hayo unapata maji...ukiitia sokoni huwezi kosa chini ya 7m faida

N.b(zingatia sana finishing)
 
Kama hio ndio investment yako ya kwanza kubwa.. haijalishi una milion 30 au million 100. Most likely utaipoteza tu. Business success ni zaidi ya kuwa na mtaji. Na pia ww uko passionate na kitu gani? Utanunua coaster.. na utapata hasara tu. Kujenga.. haitoshi.
Ok, kwa hiyo nisi invest popote?
 
Back
Top Bottom