Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

Ndani ya mwezi ni kuigawa mafungu 30! Ingiza 1M kwenye account ya 1XBet na uhakikishe kila siku una odds 2.3 katika mchezo wowote ule!

Ukiweza ku maintain odds hizo kwa siku 30 utakuwa umeshafikia lengo tayari!
Sina knowledge ya betting mkuu
 
Nenda mbagala au cyanika,nunua uwanja jenga mjengo wako kwa bajet yako hiyo ya 30m utatoa kitu kikali sana,zingatia finishing iwe kali sana,kwenye tofali usiwaze unachukua hata za 700 au
800...ardhi ya maeneo hayo inaruhusu hata usipoweka mkanda wa chini,utapiga linta tu tena kokoto ubuyu,hela km ipo ndani ya huo mwezi mpaka umeme unapata kikubwa nguzo iwe jirani...maji unachimba kisima cha mkono tu mita 10 maeneo hayo unapata maji...ukiitia sokoni huwezi kosa chini ya 7m faida

N.b(zingatia sana finishing)
Wazo zuri ila naona linahitaji miezi 6 hadi mwaka ndio uuze na kupata faida. Mimi nataka faida ndani ya mwezi mkuu..
 
Kwa ujumla hakuna biashara halali itakayo kidhi mahitaji yako ya faida zaidi ya 100% kwa mwezi. Kuna mtu kasema madawa ya kulevya. Hiyo hata mwezi haushi ila ndo hivyo - siyo halali duniani na mbinguni.
Wadau, salaaam?

Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu.

Ushauri pls..
 
Wazo zuri ila naona linahitaji miezi 6 hadi mwaka ndio uuze na kupata faida. Mimi nataka faida ndani ya mwezi mkuu..
Aisee, wewe binafsi ulikuwa unafikiria biashara gani kabla kuileta mada hapa.?
 
Tafta kakiwanja kabei nafuu town jenga nyumba ya vyumba viwili na sebure upangishe tu. Maana kwa akili yako ya kutaka faida kubwa ndan ya mda mchache hiyo ela utaipoteza
 
Wadau, salaaam?

Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu.

Ushauri pls..
Kwani hizo ulizipataje?
Fanya kama ukivyofanya uapate tena hiyo 30m ziwe 60
 
Ndani ya mwezi ni kuigawa mafungu 30! Ingiza 1M kwenye account ya 1XBet na uhakikishe kila siku una odds 2.3 katika mchezo wowote ule!

Ukiweza ku maintain odds hizo kwa siku 30 utakuwa umeshafikia lengo tayari!
Una amini anazo au mtu kaota usiku anazo halafu asubuhi ana post?
 
Nenda mbagala au cyanika,nunua uwanja jenga mjengo wako kwa bajet yako hiyo ya 30m utatoa kitu kikali sana,zingatia finishing iwe kali sana,kwenye tofali usiwaze unachukua hata za 700 au
800...ardhi ya maeneo hayo inaruhusu hata usipoweka mkanda wa chini,utapiga linta tu tena kokoto ubuyu,hela km ipo ndani ya huo mwezi mpaka umeme unapata kikubwa nguzo iwe jirani...maji unachimba kisima cha mkono tu mita 10 maeneo hayo unapata maji...ukiitia sokoni huwezi kosa chini ya 7m faida

N.b(zingatia sana finishing)
Ununue Kiwanja na Kisha Ujenge Nyumba ya Maana Kwa Mtaji wa Milioni 30 Tanzania ya leo? Usimdanganye ndugu Aisee.
 
Back
Top Bottom