Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Ramani kubwa hivi kwa 10m ? hebu tupe mchanganuo kidogo
kwa hela aliyotumia inawezekana kabisa sbb hiyo nyumba ni ndogo sana hajafika hata sqm 80. Lkn siku zooote kujenga boma sio tatizo saaana ila finishing ndugu yangu ni mziki kutegemea na aina ya finishing unayotaka. mf. unaweza weka tiles kwa tshs 5M lkn nyumba hiyo hiyo ukitaka zile za ukweli inaweza cheza mpaka tshs 16M
 
qh_designers_1647106004924143.jpg
 
Back
Top Bottom