Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Site plan yake hii hapa
IMG-20220729-WA0007.jpg
IMG-20220729-WA0008.jpg
 
Lete pia makadirio
Ok.. itakua hv

Kulaza conduit ukutani 350,000
Wiring 1,100,000
Total Pamoja na ufundi 1,450,000

nb: wiring itakua standard ya kisasa material kuanzia wire, MainSwitch, earth rode, nk... vitakua Ni original.. so hapo itabaki installation ya sockets, switch, taa, na vifaa vingine vya umeme utavohitaji kufungiwa kwenye nyumba yako Kama heater nk...
 
Lete pia makadiri
Kwa hiyo ramani yako makadirio yatakua hivi

1.} conduit 20mm =45pc
2.} square box single =16pc
3.} square box double =15pc
4.} square box single to single =12pc
5.} square box single to double = 15pc
6.} misumari 3inch = 1kg
7.} conduit africab 20mm =70pc
8.} Round box =50pc
9.} Square junction box =10pc
10.} Couplin conector =30pc
11.} Elbow corner = 20pc
12.} Plastic clips22mm =box3
13.} Wire 1.5mm = roller 5
14.} Wire 2.5mm =roller 3
15.} Wire 6mm =10m
16.} Isolation tape = 5pc
17.} Singlephase MainSwitch =6way
18.} Original earth rode =1pc
19.} Earth wire 4mm =10m
20.} Circuit breaker =1pc

Waya za 1.5mm na 2.5mm Ni za single core zikiwa katika pair yaani red, blue na green.. kila roller 1 ikiwa na 100m
 
Ok.. itakua hv

Kulaza conduit ukutani 350,000
Wiring 1,100,000
Total Pamoja na ufundi 1,450,000

nb: wiring itakua standard ya kisasa material kuanzia wire, MainSwitch, earth rode, nk... vitakua Ni original.. so hapo itabaki installation ya sockets, switch, taa, na vifaa vingine vya umeme utavohitaji kufungiwa kwenye nyumba yako Kama heater nk...
Hii bei na material inclusive ama ni ufundi tu mkuu. Ungenifafanulia hapo
 
Million 10 ni hela nyingi sana kwa hatua za awali za ujenzi.

Ni ndogo kwa kujengea ghorofa ila ni kubwa sana kwa nyumba ya vyumba viwili tu.
Kwa hiyo nyumba ya vyumba viwili naweza jenga kwa mil 10?
 
Back
Top Bottom