Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Kwa hiyo nyumba ya vyumba viwili naweza jenga kwa mil 10?
Ingia king utakuja kutupa mrejesho hapa, naandika haya nikuwa ni mtu niliyeiishi real estate Tena low affordable houses.

Ukitaka nyumba standard tafuta million 25 au jenga kidogo kidogo kila ukipata pesa, ila kama shida yako ni anuwani ya makazi hata million 5 unajenga nyumba.
 
Hiyo mil 25 ni nyumba ya vyumba vingapi?
 
Ingia king utakuja kutupa mrejesho hapa, naandika haya nikuwa ni mtu niliyeiishi real estate Tena low affordable houses.

Ukitaka nyumba standard tafuta million 25 au jenga kidogo kidogo kila ukipata pesa, ila kama shida yako ni anuwani ya makazi hata million 5 unajenga nyumba.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom