Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Kesho nasign out mil 10 imekata
20220808_172631.jpg
 
Kesho nasign out mil 10 imekataView attachment 2318421
Bora wewe unatutia moyo mana wengine wanatuogopesha.
Sasa ukiwa una hela ya mawazo kama mimi utaishia kujisemea bila kiasi hiki siwezi kumbe inawezekana.
Ubarikiwe Mkuu.
Ila tunausubiri mchanganua nadhani utakuwa msaada kwa wengi japo tunatoka sehemu tofauti na gharama zinatofautiana ila itatupa mwongozo.
 
Nitaleta mchanganuo wote soon nilikuwa safari bukoba ndo nipo ferry hapa busisi narudi mwanza. But niligonga mtu sengerema bana daaa so ninamsala polisi
 
Pole sana
Mungu akusimamie uyamalize salama
 
Wakuu mkihitaji ramani msisite kututafuta kwa whatsapp 0715477041

Waweza pitia uzi wetu kuona baadhi ya kazi zetu.

UJENZI: Let us transform your design ideas into reality: Nile house designs
 
Mimi nmependa huyu kaka, kakatishwa tamaa juu, kuna mtu kamsema vibaya ata, lakini karudi kutoa feedback plus njia alizotumia. Ubarikiwe sana, nahisi utakuwa umewasaidia wengi.
 
Back
Top Bottom