Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Nina milion 10 nahitaji kujenga nyumba Mwanza

Binadamu wa sasa wana mbwembwe nyingi sana. Nyumba ni kitu ambacho hupaswi kujitutumua sana. Kujilisha upepo tuu
Actually ni kanyumba ka kupangisha nishaamua nitaishi kwenye nyumba ndogndogo za kupangisha yangu nitajenga baadae sana. Ukijenga nyumba ya kuoshi sasa hivi ni utaahira. Nimeamua kuwekeza kwenye nyumba and kipato changu sio kikubwa
 
Hadi sasa ukiondoa hii nyumba ninazo zingine 5 zipo zimebakia kupauliwa ila ni za kawaida na ndogo appartment tu room na sebule ila mita 4.5 room mita 5 sebule na jiko hapohapo1
Unaweza nipatia ramani ya hii please
 
Back
Top Bottom