trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
tupo hapa hatuondoki hadi alete mchanganuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nilisahau kabisa nitawaletea keshoHatuondoki hapa mpaka mchanganuo uje Holly Star
🤣🤣🤣 huyu jamaa Holly Star ni mbabaishaji sana.Kesho nyingine
Wacha nitafute pesa, hongera kiongozi.Hiyo ya 9M; vyumba 3, sebule na jiko View attachment 2749792
View attachment 2749795View attachment 2749796
Wiring nimebananishadogo nansomesha veta umeme aliifanya bure.Ok.. itakua hv
Kulaza conduit ukutani 350,000
Wiring 1,100,000
Total Pamoja na ufundi 1,450,000
nb: wiring itakua standard ya kisasa material kuanzia wire, MainSwitch, earth rode, nk... vitakua Ni original.. so hapo itabaki installation ya sockets, switch, taa, na vifaa vingine vya umeme utavohitaji kufungiwa kwenye nyumba yako Kama heater nk...
Picha haifunguki mkuuHiyo ya 9M; vyumba 3, sebule na jiko View attachment 2749792
View attachment 2749795View attachment 2749796
Huu ndio mchanganuo?Wiring nimebananishadogo nansomesha veta umeme aliifanya bure.
Mkuu mambo ya Ujenzi acha,mtu kama hajajenga ndio ataongea Vitu asivyojua. Mimi nilimuomba Mtu wa Mchoro anichoree Ramani ya nyumba ya milion 30,kuanza ujenzi mpaka nyumba inaisha nimetumia milioni 70+. Nimefanya ule ujenzi nikiwa mbali,watu wanasema nimeibiwa lakini siri naijua mie.Huu uzi unaniletea simanzi sana niko site nimeshachoma kama 23m mpaka kupaua tu. Na hapo nimesimamia kila kitu asubuhi mpaka usiku na hardware nakwenda mwenyewe.
Boss ulipata Ramani ya hii nyumba?Kuna mtu humu aliwahi kushare hii picha natafuta sipati uzi wake na mhusika mwenyeweView attachment 2874084
kama ulikuwa mbali usikatae huko kuibiwa.Mkuu mambo ya Ujenzi acha,mtu kama hajajenga ndio ataongea Vitu asivyojua. Mimi nilimuomba Mtu wa Mchoro anichoree Ramani ya nyumba ya milion 30,kuanza ujenzi mpaka nyumba inaisha nimetumia milioni 70+. Nimefanya ule ujenzi nikiwa mbali,watu wanasema nimeibiwa lakini siri naijua mie.
Hapana sijaipata hata mtu aliyeshare hakurespond mkuuBoss ulipata Ramani ya hii nyumba?
Kama uko mbali na site kuibiwa kupo mkuu.Mkuu mambo ya Ujenzi acha,mtu kama hajajenga ndio ataongea Vitu asivyojua. Mimi nilimuomba Mtu wa Mchoro anichoree Ramani ya nyumba ya milion 30,kuanza ujenzi mpaka nyumba inaisha nimetumia milioni 70+. Nimefanya ule ujenzi nikiwa mbali,watu wanasema nimeibiwa lakini siri naijua mie.
Inawezekana,lakini hela sio rahisi kuiba,nilifanya manunuzi mwenyewe ya kila kitu. Dunia imekuwa kijiji,fundi alikuwa akinipa mahitaji ya Rangi nawasiliana na mafundi wengine wanipe makadirio yao,mara nyingi yalikuwa yanacheza mule mule,nikijiridhisha naweka oda kiwandani mzigo ukiwa tayari unaenda Site. Nimefanya hivyo kwa kila kitu,kuanzia Bati,tiles,Vifaa vya umeme,vifaa vya mabomba, Aluminium n.k...Kama uko mbali na site kuibiwa kupo mkuu.
Yawezekana 20+ imepigwa au zaidi hali ni mbaya sana mafundi na hata watu wengine siyo waaminifu hapo unakuta wameiba material na hela.