- Thread starter
- #21
kwa dar hapa biashara ni mbili tu ammbazo hazina stress kiivyo kwa upeo wangu
1.bar...kama unavyoona sasa hivi kila kona kuna bar nzur ambayo ukiweka mtaji wa 50m mpk 70m hii kuanzia matengenezo,kodi ya eneo na mtaji pamoja na matangazo ndan ya ya miez 3 pesa yako imesharud na faida juu
2.lodge hapa unaweza kukodi nyumba ila vizuri uwe na eneo lako maana lodge ikiwa sehemu nzur na parking ya kubwa wateja ni wengi ila mazingira yawe safi muda wote maana kuna watu wanakaa 1hr na kuondoka hicho chumba kimoja kinaweza kutumiwa hata mara 3 kwa siku ila muhimu ni usafi uwe na machine za kufulia na madawa ya kuoshea vyoo muda wote bei ya chumba iwe 30k kiwe na ac na tv ndan lodge uwe una uza vinywaj vya aina zote
nimewasilisha nakutakia kila la kheri ukifanikiwa usiache kunikumbuka[emoji119][emoji119]
nime kuelewa boss wangu. kuna jamaa kaniambia biashara ya bar haina faida
Sijuwi wewe boss wangu una experience na hiyo biashara?