Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

VUNJA BEI: KUANDAA HESABU ZA KODI za makampuni; USAJILI WA MAKAMPUNI dakika za mwisho hizi..!!
0788104228
 
Asante sana ndugu naisi mtaji wangu ni mdogo kuanzisha kitu kikubwa kama hicho. Au we unasemaje?
Mkuu fanya biashara ya kununua na kuuza mazao.

tenga.milioni 10 mpaka 20 tu nakwambia huo mtaji utakupeleka mbali sana. Hii biashara ukubali kabisa kuishi nje ya Dar kwa muda.

kumbuka haitakiwi kuweka hela yoote kwenye biashara. Ikitokea loss usije ukaumia mazima.

biashara ya mazao imewatoa wengi sana kwa muda mfupi sana.
 
Hii biashara n nzur Ila kimbembe n ukifka
Sokon kuna ule mchezo bila dalali
Hauwez kuuza yani
Kero yake n hii tu
 
Hii biashara n nzur Ila kimbembe n ukifka
Sokon kuna ule mchezo bila dalali
Hauwez kuuza yani
Kero yake n hii tu
Zipo nyingine hazihitaji Dalali.
fungua store yako mwenyewe uza kwenye maduka yako.
Fazilijr fanyia utafiti hii kitu.
kama uko Dar nenda.mbande senta kuna jamaa anaitwa mkulima atakupa maelekezo zaidi
 
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100 lakini sijuwi ni business gani ambayo itakuwa na revenue nzuri. najuwa kuna watu wengi ambao wana business ideas lakini mtaji ikawa ndo kikwazo. kama una wazo lolote la kibiashara na upo dar es salam unaweza niandikia ama una weza acha namba yako ya what'sup mimi nitakupigia. mtaji ni 100 million tsh. Karibu kwa Business idea

N.B: kwa atakae( watakao) bahatika ku leta wazo nduri watakuwa wamepata ajira moja kwa moja. sichagui jinsia. i'm very serious about this. karibuni
Anzisha ZAHANATI mkuu.,
Kupitia hela yako hyo unaweza kuanzisha ZAHANATI kwa mtaji wa 50ml. Zahanat ya kisasa kabisa.Miezi mitano tu ushazoeleka ambapo utakua na uwezo wa kukusanya 15milion.Ukilipa wafanyakaz unabakiwa zako na 10mil.

Project anzisha kampuni ya clearing...Tafuta connection ujue sehem ya kupeleka mzigo wako.Mathalani Ngozi ya ng'ombe inanunulika sana uarabuni huko...
Hz ni biashara ambazo kwa mtaji ulio nao huchelewi kurudisha hela yako kwa mda mfup
 
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100 lakini sijuwi ni business gani ambayo itakuwa na revenue nzuri. najuwa kuna watu wengi ambao wana business ideas lakini mtaji ikawa ndo kikwazo. kama una wazo lolote la kibiashara na upo dar es salam unaweza niandikia ama una weza acha namba yako ya what'sup mimi nitakupigia. mtaji ni 100 million tsh. Karibu kwa Business idea

N.B: kwa atakae( watakao) bahatika ku leta wazo nduri watakuwa wamepata ajira moja kwa moja. sichagui jinsia. i'm very serious about this. karibuni
Mzeya mie nina kiwanja changu prome location vipi tuingie ubia tujenge apaftments tule hela tuu
 
Njo uwekeze iringa.

1. Biashara ya hardware

2. Biashara ya spare

Nk.

Nicheki Kwa wasap 0747236497
Tunaweza andaa business plan nzuri na tukafikia malengo,

I have mental . But I miss cash.

Let me share my knowledge with you
 
kwaiyo mkuu unataka uachane na kusajili laini za simu
 
Kaka na Mimi msaka tonge sijachelewa
Nina mawazo makuu mawili Ila hayafai kufanya dar pengine pwan au Arusha
Naomba unitafute nikupe wazo langu ikiwa litafaulu ni jambo jema kama halitafaulu bas na siyo lzima unipe pesa au ajira

0753939619
 
Njo uwekeze iringa.

1. Biashara ya hardware

2. Biashara ya spare

Nk.

Nicheki Kwa wasap 0747236497
Tunaweza andaa business plan nzuri na tukafikia malengo,

I have mental . But I miss cash.

Let me share my knowledge with you
U have mental🤣🤣🤣🤣🤣
 
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100 lakini sijuwi ni business gani ambayo itakuwa na revenue nzuri.

Najua kuna watu wengi ambao wana business ideas lakini mtaji ikawa ndo kikwazo kama una wazo lolote la kibiashara na upo Dar es salam unaweza niandikia ama una weza acha namba yako ya what'sup mimi nitakupigia. mtaji ni 100 million tsh. Karibu kwa Business idea

N.B: kwa atakae( watakao) bahatika ku leta wazo nduri watakuwa wamepata ajira moja kwa moja. sichagui jinsia. i'm very serious about this. karibuni
Hiyo milionj 100 uliipataje?
 
Unaweza kuibadilisha hiyo million 100 kua million 200 ndani ya dakika 90. Ngoja wazee wa mikeka waje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom