Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

Ukiona mawazo huku tabu nenda dstv tizama kipindi cha lion's den alafu beba li idea anza kufanya kazi
 
Jenga Kanisa hiyo ndio biashara inayolipa kwa sasa.
 
Sasa hizo pesa wewe ulizipataje?, Vile ulivyozipata km ni kwa njia ya Biashara si ungeendelea na Biashara au shughuli hiyo?!!.
 
Kuna watu ni makoniman japo si kila mtu unaweza kumchukulia kama threat.
Ila my advice to you, "Dont make tail" for youre safeft dunia imebadilika..
Chukua ideas za wachangiaji kadri utakavyokuwa umevutiwa naye, make move,
"Do not make tail"
"Do not make tail"
"Do not make tail"

Log off.
 
mkuu una uzoefu wa jinsi ya kuanzisha clearing agent companies,mtaji ni kiasi gani na utaratibu wake ukoje
 
mkuu hii hela ukiwekeza kwenye nafaka hutajuta maana kila mwez una uhakika wa kukusanya ml 10
 
Asante sana ndugu naisi mtaji wangu ni mdogo kuanzisha kitu kikubwa kama hicho. Au we unasemaje?
Kwenye hii biashara hiyo pesa itaishia kwenye gharama ya kununua hiace 3 tu za kubebea wafanyakazi,bado hujanunua roli la kubebea wacheza mziki,bado hujakodi ofisi,bado mishahara ya wafanyakazi
 
Wekeza pesa yako kwenye nafaka mkuu inabidi ikughalimu utembelee mikoa tofauti hata minne uangalie Kati ya vitu hivi viwili mchele/mahindi them fanta survey na mashambani upate heka zako za kutosha uwe una kodi na kulima kazi yako itakua ni kulima uko au kununua mazao na kuja....

Kuuza dar na sehem tofaut tofaut hii biashara inawatoa watu wengi sana na inalipa biashara ya kilimo&nafaka haijawahi kumfelisha mtu kama ukipata soko zuri.
 
nmepita nmeon nikusaidie kutoa wazo mm nnauzoefu na vfaa vya simu japo sin mtaji ila vnalipa sana. na nzir kam from china to tz vioo na tach ni pesa nzur askuambie mtu mjini mafund weng cz hela ipo kila kiumbe hakikos cm kama hutojali ntafute tuwekez hapo nna idia nzur ktk hii busness ntafute 0693084050
 

habari yako ndugu nime soma kwa makini your message kwenye thread yangu naona hili wazo la lodge liko fresh sana. una mtu yoyote ambaye anafanya hii biashara? au ndugu wala rafiki? au mwenyewe una experience nayo? kama una experience kidogo hivi kwa mtaji wa 200M unaweza kamilisha kila kitu( ujenzi na kila kitu ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…