Nina milioni 100 naweza jenga motel yenye room 20, swimming pool , na vifaa vyake vyote?

Hardware zote huko cement 13500?
Nilipokwenda ndipo makubaliano yakawa 13500
Ili ifike mpaka site.
Ngoja leo niende upya hawa jamaa wananipiga kwa kweli.
 
Nilipokwenda ndipo makubaliano yakawa 13500
Ili ifike mpaka site.
Ngoja leo niende upya hawa jamaa wananipiga kwa kweli.
Unanunua mifuko mingapi? Kuna umbali gani hadi site?
 
Unanunua mifuko mingapi? Kuna umbali gani hadi site?
Nilianza na 15
Umbalii ni kama utoke ubungo mpaka Kagera pale ila jografia ya kule ni milima na mabonde.
 
Milion mia watu wanajengea nyumba za vyumba vitano tu na still zinaweza zisitoshe kufanya finishing kali we unazungumzia room 20 za motel?
Tena mi ningeshauri hio investment ufanyie njia ya mbeya kule ufungue hotel kali kuliko aljazeera na kile ki ushenzi baada ya kitonga pale. Nna imani utapata biashara sana
 
Mkuu samahani unaweza nisaidia bei ya ndoo ya rangi lita 20!!??.... Asante
 
Ukisoma comments utajua humu wengi mna akili zenye vinyesi na kimasikini sana... 100 million mmewahi kuiona? Mmewahi kuishika? Mmewahi kuipigia budget..? Wapuuzi wanasema ni hela ndogo haitoshi wakat wao wanaish nyumba za shemej zao au za urithi...
 
Mil 100 hata nyumba ya Kuishi tu ya kawaida haitoboi...Wewe unaongelea kujenga hotel kweli!?
 
Pesa ndogo Sana hiyo
 
Kila jambo ni mipango tu....hata ingekuwa ni milioni 20 tu.

Nina mfano hai wa Tajiri mmoja yeye alianza na Hotel ya room 10 tu lakini baadae alikuja kumiliki Hotel kubwa tatu za room 100+ kila moja....sasa sijui yeye alikuwa na kiasi gani mkononi na alijiuliza maswali gani kabla ya kuanza alichoanza.

Na wengi waliofanikiwa sifa yao kuu ni kuthubutu...ukiwa na pesa ukaanza kujiuliza maswali milioni moja hatimaye utajikuta umebakiwa na milioni kumi tu mfukoni ndio uanze kukimbilia imani za kishirikina.

Uchaguzi mzuri wa eneo...naona umeandika 'Motel' hii maana yake ni aina ya Hotel zinazowalenga Wasafiri na mara nyingi hujengwa pembeni ya Barabara Kuu...na nina imani ndicho ulichokimaanisha.

Na kwa Motel swimming pool sio hitaji la lazima...muhimu ni msosi na vyumba.
 
Ndo ukweli huo, chumba cha MIPA ni kizuri mno ila Dodoma utakipata kwa 200+ wakati MIPA ni 70 kwa wateja wa kujirudia kama sisi tunapewa discount hadi 60
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…