Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

Nina milioni 20. Nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na rejareja

Mkuu kwanza nikupe hongera kwa kuweza kutengeneza kiasi hicho cha pesa japokuwa hujasema kwa sasa unafanya nini,mim nikushauri tu kwamba kama alivyoshauri hapo juu ni kwamba biashara sio hela tu ni zaidi ya pesa na wataalam wa biashara wanasema ujuzi wa biashara ndio mtaji mkubwa zaid kuliko pesa hivyo anza kwanza kupata ujuzi kabla ya kufikiria kwenda china kwani hii ni kutaka kuanzia juu wakat biashara huwa inaanzia chini.

Ni kweli biashara ya spare za pikipiki zinalipa kwa sasa hivi sema hii corona virus imekuwa ni tatizo na bado hatujui itaisha lini. Kama alivyoshauri mkuu mmoja hapo juu chukua kiasi kidogo kama 5m fungua duka la reja reja fanya kazi kupitia hilo utajua aina za pikipiki na spare zake na zile ambazo mahitaji ya spare zake yapo juu kuliko zingine na utawajua wauzaji wa jumla kwa kariakoo sasa kadri utakavyokuwa unafnya utazidi kupata ujuzi na taarifa muhimu zaidi kuhusu hii biashara na kitafika kipindi utajiona tu sasa unatosha kwenda china na hapo taarifa nyingi utakuwa nazo.

Nasisitiza tena ukianza biashara bila ujuzi yaani "Technical know how " utapoteza pesa yote na hutafikia lengo ndio kuna mkuu moja amekuambia hiyo pesa ni peanut ni kweli ukiwaza kwenda kufunga container na 20m ni peanut lakin ukiwaza kwa upande wa pili ni pesa nyingi. Kuna mkuu mmoja aliwahi kuleta uzi mmoja humu kuhusu biashara ya China na Tanzania ule uzi una vitu vingi sana kuhusu safari, clearing , TRA na vinginevyo vingi tu utafute usome ukiwa umetulia utajifunza mambo mengi kuhusu biashara ya China na Tanzania nafikiri mkuu alotuma huo uzi anaitwa kipilipili utafute usome ukiwa umetulia.

Mwisho nikutakie kila la kheri.

Mkuu wangu... Asante sana mkuu, hapa nimekuelewa kabisa mkuu! Kuhusu huo uzi unaoelezea biashara ya china huwezi ku paste link mkuu? Maana nduo njia rahisi yakuupata.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Shukraani mkuu... Kuhusu ngeli niko daraja moja na SHISHI [emoji1]! Sema nini kamanda, nchi ya kibiashara kama china kwenye suala la mawasiliano wala sii ishu kubwa, maana kule kuna muingiliano wa wafanyabiashara kutoka mataifa yote dunuani.. Na sio kila mmoja anaweza kingeli, sasa kutokana na hilo basi maeneo ya kibiasha lazima huwa na lugha ya ishara! Yaani unaweza kuwasiliana bila kutoa sauti, ukaongea kwa mdomo bila sauti huku ukifuatisha kwa mikono, lazima muelewane..

Ukiamua unaweza kuweka APP ya translation kwenye simu, Mambo yakaenda..

Shukraani mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hiyo ndio moja ya nilichokisema akili ya kujua mambo au kigeni public relation ushirikiano na ushawishi ukimudu hill baishara ushindwi.
Nilisema ukienda na 20m lazimavuweke 10m nyingine mahali kusubiri majanga.
Majanga ya biashara ni bei na ushuru.....contingencies
Pampana mafanikio ni ari, Bidii na kutokata tamaa.
 
Pesa ndogo sana nafanya kazi hiyo mbaka sasa nipo kwenye gemu miaka 15 pesa hiyo uza rejareja tu hata hivo hata reja2 bado pesa haitoshi lakini utaenda mdogo mdogo
Premij canoon,

Mkuu sina uzoefu na biashara hiyo ila kwa mtazamo wangu hiyo pesa ni nyingi lakini sio ya kuanzia China,ingetosha sana kama tayari ungekuwa umeshaanza biashara,kama unaanza ningekushauri uanzie Kuchukulia Dar tena kwa mtaji wa milioni 5 hapo ndio utapata uzoefu nini kinatoka zaidi na nini hakitoki zaidi.

Hapo ndio utapata taswira kamali nini ununue ukienda [emoji630],biashara sio mtaji pekee,biashara inahitaji maarifa zaidi!,kwani mimi nauza simu used ni mjinga?[emoji23][emoji23]natumia fursa ya wapenda kitonga.

Sent using IPhone X

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ndogo sana nafanya kazi hiyo mbaka sasa nipo kwenye gemu miaka 15 pesa hiyo uza rejareja tu hata hivo hata reja2 bado pesa haitoshi lakini utaenda mdogo mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwenye kuhusu bajeti kutosha inategemea unataka kuchukua spare aina gani.Kwani kama ukichukua rims bei ni kubwa so mzigo utakuwa mdogo.spare za pikipiki ni nyingi sana labda kama ujikite kwenye baadhi ya spare tu kama utataka kuuza kwa jumla kwa pesa hiyo.

Pia ukichukua mzigo china ujipatie siku 30+ ndo mzigo wako ufike.Kuhusu usafirishaji haina shida makampuni ni mengi sana sasa hivi.ila kwenye bajeti kama umeminya sana maana pana kula,kulala,usafiri,vocha,atleast pigia bajeti yako kwa worst situation ili usije ukajikuta unaishiwa hadi nauli ya kwenda aieport

Halafu ni unatakiwa uwe ukizijua spare geniune ama grade nzuri,otherwise wachina watakupiga sana especially kama wakijua nimgeni ama ndo unaanza.

China spare za pikipiki utazipata guangzhou soko linaitwa baiyun motorcycyle spare parts.kila la heri boss
 
Premij canoon,

Mkuu sina uzoefu na biashara hiyo ila kwa mtazamo wangu hiyo pesa ni nyingi lakini sio ya kuanzia China,ingetosha sana kama tayari ungekuwa umeshaanza biashara,kama unaanza ningekushauri uanzie Kuchukulia Dar tena kwa mtaji wa milioni 5 hapo ndio utapata uzoefu nini kinatoka zaidi na nini hakitoki zaidi.

Hapo ndio utapata taswira kamali nini ununue ukienda [emoji630],biashara sio mtaji pekee,biashara inahitaji maarifa zaidi!,kwani mimi nauza simu used ni mjinga?[emoji23][emoji23]natumia fursa ya wapenda kitonga.

Sent using IPhone X
Wazo hili ni wazo bora kwa maoni yangu ambalo ndio nilipanga kulitoa kwake.
Kuna mtu namjua anafanya hii biashara mda mrefu na anaduka kariakoo lakini huwa afati mzigo China pekee yake huwa wanachanga na wafanyabiashara wezake then ndio wanaenda kuchukua mziko mkubwa mixer wa pamoja, Sasa wewe ndio unaaza unataka uundee China.....????

Kama ushawai kufanya bishara ya nguo utakuwa shaidi hapa mfano unataka kununua mzigo wa mashati ,ambao Kwa jumla wanakubali kuuza piece 50 kwa kila Aina ya shirt sasa hapo utalazimika kununua jeupe piece 50,njano 50,blue 50,red 50 ukicheza unaweza kuta pesa yote imekwisha kwa mashirt tu, ambayo ni mengi na ngumu kumaliza mzigo mapema sasa baadae yatageuka uchafu kwasbb utanunua mzigo mkubwa usiokuwa na maana, lakini mfano mkichanga wafanyabiashara watano (5)
Piece 50/5=10

mkanunua mzigo kwa pamoja inamaana kila mmoja wenu atapata piece 10 kwa kila aina ya shirt na rangi kwa gharama ndogo na ni mzigo unaweza kuuzika na kuisha mapema hapo napo utabakiwa na pesa ambayo unaweza kunua bidhaa nyingine.

Sijui sana kuhusu spare za pikipiki lakini ngoja nikupe mfano ukienda China huko usidhani utanunua piece 10/20/30 mfano umenda na list yako lakini unafika kule wanakwambia minimum order ya tyre la pikipiki ni piece 1000 jumla unakuta labda ni milioni 5 , minimum order ya starter ni pice 50 bei 1M ngoja nishie hapa 🤔 lakini natamani unielewe kuwa unaweza kwenda china ukarudi na mzigo mkubwa lakini aina ya spare ni chache..Umebeba mzigo mkubwa lakini ni vitu vinavyojirudia
 
Wazo hili ni wazo bora kwa maoni yangu ambalo ndio nilipanga kulitoa kwake.
Kuna mtu namjua anafanya hii biashara mda mrefu na anaduka kariakoo lakini huwa afwati mzigo China pekee yake huwa wanachanga na wafanyabiashara wezake then ndio wanaenda kuchukua mziko mkubwa mixer wa pamoja, Sasa wewe ndio unaaza tena 20 unataka uundee China.....????

Kama ushawai kufanya bishara yanguo utakuwa shaidi hapa mfano unataka kununua mzigo wa marshti ,mfano Kwa jumla wanakubali kuuza piece 50 kwa kila Aina ya shirt sasa hapo utalazimika kununua jeupe piece 50,njano 50,blue 50,red 50 ukicheza unaweza kuta pesa yote imekwisha kwa mashirt tu, ambayo ni mengi na ngumu kumaliza mzigo mapema sasa baadae yatageuka uchafu kwasbb utanunua mzigo mkubwa usiokuwa na maana, lakini mfano mkichanga wafanyabiashara watano (5)
Piece 50/5=10

mkanunua mzigo kwa pamoja inamaana kila mmoja wenu atapata piece 10 kwa kila aina ya shirt na rangi kwa gharama ndogo na ni mzigo unaweza kuuzika na kuisha mapema hapo napo utabakiwa na pesa ambayo unaweza kunua bidhaa nyingine.

Sijui sana kuhusu spare za pikipiki lakini ngoja nikupe mfano ukienda China huko usidhani utanunua piece 10/20/30 mfano umenda na list yako lakini unafika kule wanakwambia minimum order ya tyre la pikipiki ni piece 1000 jumla unakuta labda ni milioni 5 , minimum order ya starter ni pice 50 bei 1M ngoja nishie hapa 🤔 lakini natamani unielewe kuwa unaweza kwenda china ukarudi na mzigo mkubwa lakini aina ya spare ni chache..Umebeba mzigo mkubwa lakini ni vitu vinavyojirudia
Mkuu,umeeleza jambo zuri sana na la muhimu katika biashara.Kuwa na taarifa sahihi kwa wakati sahihi na kujua namna ya kuzishinda hizo changamoto katika biashara.Hivyo basi kwa mtoa uzi nafikiri sasa ana jua kwamba ni lazima aanzishe uhusiano na watu wa Kariako il apate mtu ambaye wanaweza agiza mzigo pamoja na pia inabidi atafute taarifa za bei ni kiasi cha order pamoja na taarifa nyingine muhimu.Asisahau kwamba INAWEZEKANA ikiwa anayo nia ya kweli ya KUFANIKIWA mradi ajue tu lengo lake kuu ni lipi.
 
Ok ,umepata eneo ambalo utaweza kufanya na service za pik pik?

Unaweza kwenda china cha kufanya usingojee hesabu za jf ww nenda kwa wauza spare ongea nao hata wa5 tofaut tofaut kwa muda wako utapata details nzuri zaid ila usiingiza 20 mil yote ingiza tu 10-12 mil basi

Sent using Jamii Forums mobile app
Una ushari mzuri kwa muhitaji.
Huwezi kumwambia mtu 20m kwa ajili ya spare za piki piki ni peanuts vifaa vinavyouzwa $0.02 a piece? Engine block $5.0 ambayo ina uzwa hapa laki +? Biashara is determination and skill Huyu amekwisha determine amepata mtaji wa 20m ambao ni mkubwa to scale, wapo watu ukimpa 500,000/= Leo ukimwona baada ya mwaka mmoja unamwita mzee!
 
Salaam wanajukwaa,

Pole na mitikasi na mihangaiko ya kila siku, natumai sote ni wazima wa afya njema. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika uhangaikaji nimefanikiwa kufikisha kiasi cha milioni ishirini (20,000,000), nahitaji kufanya biashara ya spare za pikipiki kwa jumla na reja reja nipo nje kidogo ya Dar mkoa wa Pwani (Bagamoyo)

Naomba ushauri kwa wazoefu wa hii biashara... Je, milioni 20 itaweza kujitosheleza? Ikiwa ni pamoja na kwenda China, kununua mzigo, kuusafirisha hadi kufika TZ.

Kwa taarifa za awali nilizopata ni kwamba:

• Nauli GO & RETURN makadirio ya juu $1800 (Inaweza kupungua).
• Chakula & Malazi $35 per day. Nitatumia siku 3 tu kununua mzigo nakuukabidhi kwa kampuni ya usafirishaji kisha kurudi TZ ili kuepuka kupunguza mtaji kwa gharama kubwa za chakula & malazi! Hivyo $35 kwa siku 3 itakua $105 (Tsh 250,000)

Naomba kwa wazoefu kunisaidia mawazo na ushauri kwa huu mtaji wangu je, utajitosheleza kwenye biashara tajwa? kwa kuuza jumla na rejareja?

NB: Nafahamu kuna corona kwa sasa, hivyo nipo hapa kupata ushauri na kupata taarifa muhimu kwa sasa, hali itakapotulia ndipo natarajia kwenda.

NATANGULIZA SHUKRAN

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mm niko kariakoo nafanya biashara import kutoka china
Ushaur: Husiende china kufanya biashara yoyote kama hujawai fanya iyo biashara hata mwaka moja kwa kuchukua mzingo hapa hapa bongo coz hutakuwa na experience ya iyo biashara utapoteza ela yako kama upepo
Mm naona anza kwa hapa bongo kwa iyo ela yako then ukipata experience ndio uende China

Watu wanaenda na ela nyingi sana china tena izo biashara ya spare za pikipiki ni 40ft ndio wanaoata faida bt loose cargo hakuna ela utapoteza ela yako mkuu cha kabisa
Kuna biashara wapo matajir wengi huwezi fanya na mtaji wa million 100 kwenda chini. Vitenge, spare za pikipiki,viatu nk

Kama utapata ela basi ya soda tu kutoboa huwezi coz wanaobeba 40ft wanaweka bei chini sana ww wa loose cargo huwezi pata faida mkuu lamda kipindi cha kikwete ulikuwa unaweza pata faida coz mzunguko ni mkubwa nw mzunguko ni mdogo utachoma ela yako tu

Kwenda china malazi viza nauli lazima 4m ikate hapo bado uo mzingo hujanunua
Sasa utapata faida kiasi gani hapo mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani unamaanisha niende kariakoo ninunue mzigo wa milioni 20 mkuu? Mbona kama namtajirisha muuza duka kwa mkupuo?

Mm ninachotaka kujua ni je, hii mil 20 itaniwezesha kwenda china kuchukua mzigo, kuusafirisha hadi TZ? Na si kupata uzoefu wa kipi kinaenda kipi hakiendi, mimi nijue tuu bajeti yangu hii inanitosha au laa

Maana naona kuchukua mzigo wa mil 20 kariakoo kama uwoga wa kuthubutu hivi [emoji3]

Ila shukraan kwq ushauri wako mkuu, tusubiri wengine waje.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbona unamlipia mwanao 5M ya ada? Huoni unamtajirisha mwenye shule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm niko kariakoo nafanya biashara import kutoka china
Ushaur: Husiende china kufanya biashara yoyote kama hujawai fanya iyo biashara hata mwaka moja kwa kuchukua mzingo hapa hapa bongo coz hutakuwa na experience ya iyo biashara utapoteza ela yako kama upepo
Mm naona anza kwa hapa bongo kwa iyo ela yako then ukipata experience ndio uende china
Watu wanaenda na ela nyingi sana china tena izo biashara ya spare za pikipiki ni 40ft ndio wanaoata faida bt loose cargo hakuna ela utapoteza ela yako mkuu cha kabisa
Kuna biashara wapo matajir wengi huwezi fanya na mtaji wa million 100 kwenda chini. Vitenge, spare za pikipiki,viatu nk
Kama utapata ela basi ya soda tu kutoboa huwezi coz wanaobeba 40ft wanaweka bei chini sana ww wa loose cargo huwezi pata faida mkuu lamda kipindi cha kikwete ulikuwa unaweza pata faida coz mzunguko ni mkubwa nw mzunguko ni mdogo utachoma ela yako tu
Kwenda china malazi viza nauli lazima 4m ikate hapo bado uo mzingo hujanunua
Sasa utapata faida kiasi gani hapo mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kweli, unapotaka kuvuka mto ingiza mguu mmoja kwanza ukiona kina kinavukika tumbukiza mguu wa piki uvuke.
Hyu aanze na biashara ya hapa hapa akisikia utamu wa greese basi aende huko Guangzhou akakombe hiyo miko alete awagawie walaji.
Asante kwa ushauri wako mzuri.
 
Umewahi kufanya biashara za China mkuu?
Tujitahidi kushauri kile tunachokijua vizuri,
Tukiona kitu hatukijui tuwe tunapita kusoma comments tu, sio lazima tuchangie kila kitu,
JF imesaidia wengi sana, sasa tusiwakatishe watu tamaa watu kwa vitu ambavyo hata sisi wenyewe hatuvijui.
Wengine ni wafanyabiashara wa bidhaa hiyo wanakutisha ilihali wanaogopa ushindani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma comment nyingi za kukatisha tamaa ml 20 ni kubwa mnoo wastani wa kununua mzigo China ml 10 ukifanya biashara yoyote ya kuleta Tanzania achana na wenye roho za korosho nafaida inakuwaga x 3 ya manunuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu unakosea. Nani kakuambia hayo yote? Unataka kufanya boashara kkoo ya spare kwa million 20? Kodi ya frem kkoo waijua? Nauli ya china go and return? Accomodations? Meals? Nani anaenda mzururisha? Mtafsiri? Huo mzigo ananunua kwa hela ipi hapo? Hivi mnachukulia poa mtu kuwa hapa kkoo ama. Ushuru wa bandarini? Leseni za biashara etc? Mil 20 kwa china ni peanut money kwa mtu anayetaka soko la kkoo. Ni hasara kiujumla.
 
Milioni ishirini Kwa vifaa vya pikipiki Anza kuuza rejareja Kwa kununua mzigo kariakoo, Kwa kufungua gereji ya pikipiki pamoja na Duka la spare mwenyewe ni sehemu nategemea kuwekeza, Ila Kwa 20m kama huna eneo na ni biashara mpya wekeza kwenye rejareja Kwanza Huku ukiwa na mafundi wako hapo ofisini
yes upo sahii mkuu.Alfu ukiingia sokoni ka stage eyo ya rejareja unaweza kulisoma soko la spare kiundani na kujua changamoto zake vizuri mno.Unajua changamoto unazitatutaje zikija na kwa wakt unauza rejareja unaanza kutengeneza good customer basee ambayo hata ukifunga mzigo wa jumla unaulaaa piaaa.

The key ni kwamba waweza ukawa na Duka la jumla ambalo hio duka unaprint ezo parts kwa jina lako ,au unabrand zile boksi za kufungia spea ikiwa kama njia ya kujitanganzaaaa,na pia unakuwa na duka huku una ka workshop ambacho kataenda sambamba na unachokitoa sokoni......
 
3086BC14-A86D-4FD8-AEA8-4832EBF79C9A.jpg

Biashara pekee yenye return ya uakika ni Real Estate upande wa property tu.

I can assure you mwaka jana nimeanza na Tsh M10 nimenunua shamba two accers nimeplan viwanja 36 @ M1.5 kwa hesabu za kawaida tu utaona faida ipo wapi?

Now nipo kwenye process ya kufanya usajili wa kampuni official.

Hili game ni tamu no stress za kuangaika what you need ni advertising tu
Kama unahitaji somo karibu officen

0692275216
IMG_6607.jpg

IMG_6595.jpg

IMG_5659.jpg
 
View attachment 1759433
Biashara pekee yenye return ya uakika ni Real Estate upande wa property tu.

I can assure you mwaka jana nimeanza na Tsh M10 nimenunua shamba two accers nimeplan viwanja 36 @ M1.5 kwa hesabu za kawaida tu utaona faida ipo wapi?

Now nipo kwenye process ya kufanya usajili wa kampuni official.

Hili game ni tamu no stress za kuangaika what you need ni advertising tu
Kama unahitaji somo karibu officen

0692275216View attachment 1759434
View attachment 1759435
View attachment 1759436
Mungu akutangulieee kwakila jambooo Hongeraaa
 
Hongera office nzuri... tufafanulie hapa hapa mkuu.
 
Back
Top Bottom