MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Fanya biashara mojawapo kati ya hizi ,
1. Kauze "unga " a, soko kuu lipo china or sauzi
2. Kasafirishe twiga au meno ya tembo.
3.Kauze flana na kofia za MAGAMBA (ccm).