Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
h_logo.gif

[h=1]Air Charter Services[/h][h=2]What are Air Charter Services?[/h]Air Charter Service is a travel system in which users rent a whole plane to perform private trips according to their particular needs. The difference with regular Airline seats - even with first class seats- is that the Air Charter Service companies provide the exact conditions that the users need: departure time, itinerary, cargo transportation, aircraft type, etc. It has been becoming increasingly popular since the late 1990s due to the acceleration and competitiveness effects generated by business globalization.
[h=2]Why users choose to use Air Charter Services?[/h]
air_charter_service.jpg

People Boarding on Air Charter Service

non_air_charter_service.jpg

Boarding on Regular Airline Service
Travel Stress is becoming a very serious problem for businessmen as regular airline flights get more crowded, noisy and unpleasent by the hour. Also, staff service is logically getting less and less personalized and polite. It's known that stress in business highly reduces efficiency and may be a threat to one's health.
The World Bank studied its own travelers and discovered that both their physical and mental health-care claims were significantly greater than those of non-travelers
So, one way to avoid this is by reading self-help books and learning how to relax while waiting at the boarding line or when some child is kicking your seat. Also wearing uncomfortable noise cancellation headsets, and do some meditation when the airline informs you that they have misplaced the luggage.
Another way is by using Airline Charter Service. Of course it will mean an investment as prices exceed regular airline tickets, but it is without question a profitable investment. Stress will be only a memory, while the boarding process is a breeze, you fly on a luxury private aircraft, receive meals at international cuisine level, carry as much cargo as needed and depart precisely at the required time. This is why users that have tried Airline Charter Service can hardly go back to regular airline seats, because they have tasted the real way businessmen should fly.
[h=2]Why users choose to request Planes.com Air Charter Services Quotes?[/h]The possibilites of the combined use of Air Charter Services and Internet are inmense, it can eventually change the very nature of business travel. Planes.com understands this and works to combine the best of both services. We act as brokers for the main Air Charter Service companies thus gathering all the possibilities and competitive prices on the user end.
 
kaka vp? Yaan milioni 270 tu unauliza kua nimezipataje?....hahaha kwel Tz bado saana,,...mbona pesa ya kawaida sana? Na wenye kumiliki Mabilioni nao watasemaje?..,,,au huo ndo urithi wa mawazo uloachiwa na babu yako Nyerere?? ok nna nyumba kadhaa nimerent wazungu kwa dollars maeneo ya mbez na msasan,,...na mbal na hapo nna v mpesa,,...tigopesa na maduka kadhaa mjini,,...ni ayo tu kwa ufupi hope umenielewa

kwenye thread yako umesema huna uzoefu na biashara,hivyo vi mpesa nk nk,its only begin with u.
 
wow ukiwa creative tht is alot of money! mimi ni expert wa mambo ya ujasiriamali na kama hayo na ni consultant wa business na entrepreneurship, u can contact me, na in the mean time, kuwa open minded na kila unapopita angalia gaps utagundua opportunities.
N.B ukiamua kusubiri pls lend me 100,000 na riba, nitafanyia kazi nitakurudishia ndani ya a very short period of time. please! wishing u all the best

consultant unaanza na kupiga mzinga 100,000!!!!or u meant 100M???

Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!

umeolewa???🙂
 
Mkuu biashara ya sembe inatatizo gani?

Risk ni kubwa. Inabidi uhonge sana. Sasa na huo mtaji alionao hiyo hela yote itaishia kuhonga kabla hata hajaanza biashara yenyewe. Halafu kumbuka, anahonga kila siku na kila mtu. Kwa hiyo lazima ajipange sana. Walau 1 billion ya kuanzia sio mbaya. Aendelee kuzichanga kama unamshauri afanye biashara ya poda
 
Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!

Kuna mdau amekushauri biashara ya wese. Nadhani you need to give it a thought. It's lucrative business for people with capital like yours.
 
Kuna mdau amekushauri biashara ya wese. Nadhani you need to give it a thought. It's lucrative business for people with capital like yours.

Am speaking from experience I have a friend ameanza juzi juzi tu hapa na nshamuona maisha yanavyoanza kumbadilikia. I mean anakusanya hela nzuri walau mjini hapa mda si mrefu na ye mtaanza kumhisi anauza poda au amejiunga na freemason kama ilivyo ada kwa watz wengi.
 
Good analysis mdau

Unajua huku ktk kitengo cha ujasiriamali napaheshimu,kuna madini sana mkuu,yaani hata km mtu atapost thread za kusadikika,kupitia exposure za wadau mbalimbali tuna gain mambo mengi,na nakushauri mkuu isipite hata siku moja bila kuchungulia kitengo cha ujasiriamali hapa jf,inasaidia sana.
 
Ni kweli mkuu ndio maana nilivyoona tu jibu lile nikacheka sana, wengi hatufanikiwi kwenye ujasiamali kwa kuwa tunatafuta kwanza ela (mtaji) then tunaanza kutafuta idea ya biashara matokeo yake unaweza ukawa una hela nyingi ukawa na mawazo mengi mwisho wa siku unakuwa na uamuzi ambao si sahihi.
 
Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Mkuu Marnah Kwa ushauri wangu mimi mambo uliyoyafanya

hapo mwanzo mpak ukapata hizo pesa jaribu kuendeleza hayo usijaribu kufanya Biashara

ingine kwa sababu umesema wewe bado unaendelea kikazi.Usije ukajichanganya na kufanya

mambo mengine wakati hutoyaweza kuyafanya huku wewe unafanya kazi za kuajiriwa na hao

watu Weupe huo ndio ushauri wangu. Swali langu ninakuuliza samahani lipo nje ya Thread

yako je Umeolewa? una umri wa miaka mingapi? Je una watoto kama una watoto wangapi?

ningependa unijibu hayo maswali yangu 3 asante sana ninakutakia kila la kheri inshallah.

Japokuwa umeonyesha chembe ya dhihaka lakini sitosita kukushauri,

Kulingana na maelezo yako ya awali yanaonyesha wazi kuwa pesa hiyo kwako ndio pesa nyingi zaidi uliyowahi kuishika na mazingira ya upataji yalitia shaka kidogo uwezo wakowakuimiliki,

Vema, ushauri wangu nikuwa, endelea kuwekeza hapo kwenye biashara ya nyumba na upangishaji, vilevile biashara ya M-Pesa nk,

Ukitoka nje ya hapo siamini kama utafanikiwa,

Kwa mtanzania wa kawaida milioni 270 ni pesa nyingi sana, usishangae ndugu!

Mungu akutangulie,
Mkuu Yericko Nyerere Ushauri wako wa kumwambia ajenge nyumba ndio ushauri mzuri kuliko ushauri wa kuweka pesa Bank sio ushauri mzuri Mkuu si unajuwa mambo ya Bank mara Bank imefilisika? na kuhus hizo Pesa alizo kuwa nazo huyu bibie Marnah Tz Shs Millioni 270 sio nyingi kana unavyosema wewe kipesa ya dollar haziwezi hata kuzidi Dollar laki 1 na Elfu 50. Labda kwako wewe huna ndio unaziona ni pesa nyingi pesa za machungwa hizo.
 
Last edited by a moderator:
consultant unaanza na kupiga mzinga 100,000!!!!or u meant 100M???

hahaha! yap meant 100m nalo pia ni wazo la kibiashara, kama hatakua tayari kutumia anikopeshe nitamrudishia kwa kulipa interest nzuri kabisaaa itampa faida kuliko ikae bank tu na interest zenyewe za bank mvuto mdogo.
 
Rich Dad's Guide To Investing Inahusika sana!..

Ndy nipo pg ya 80 nikikimaliza nitarudi!...
 
aisee we ni PM nikupe njia za ku double your money hapa risk
 
Uko mkoa gani ? Kama Dar, Arusha, Mbeya au Dom. Nunua plots na kujenga nyumba za kupangisha, zinalipa sana katika mikoa hiyo, zitakuwa zinajiendesha zenywe na jinsi siku zinavyoenda thamani ya plots inaongezeka. Hata kama hauko kwenye hiyo mikoa waweza nunua plots na kujenga huko. Aidha, siku ukistaafu utaishi vizuri. Biashara hazitabiriki, zinapanda na kushuka, walaji ni wengi kwenye biashara, sipendi uugue ugonjwa wa moyo utakapokuta pesa yako inashukua kutoka 270m hadi 170 m.
 
Back
Top Bottom