ksimba1606
Member
- Aug 15, 2011
- 19
- 9
Umezipataje mpka ushindwe kujua nini cha kufanya? au wakati unazisaka ulikuwa na malengo gani?
ni vizuri ukafanya hicho kilichokuletea hizo pesa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezipataje mpka ushindwe kujua nini cha kufanya? au wakati unazisaka ulikuwa na malengo gani?
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
kaka vp? Yaan milioni 270 tu unauliza kua nimezipataje?....hahaha kwel Tz bado saana,,...mbona pesa ya kawaida sana? Na wenye kumiliki Mabilioni nao watasemaje?..,,,au huo ndo urithi wa mawazo uloachiwa na babu yako Nyerere?? ok nna nyumba kadhaa nimerent wazungu kwa dollars maeneo ya mbez na msasan,,...na mbal na hapo nna v mpesa,,...tigopesa na maduka kadhaa mjini,,...ni ayo tu kwa ufupi hope umenielewa
wow ukiwa creative tht is alot of money! mimi ni expert wa mambo ya ujasiriamali na kama hayo na ni consultant wa business na entrepreneurship, u can contact me, na in the mean time, kuwa open minded na kila unapopita angalia gaps utagundua opportunities.
N.B ukiamua kusubiri pls lend me 100,000 na riba, nitafanyia kazi nitakurudishia ndani ya a very short period of time. please! wishing u all the best
Mkuu biashara ya sembe inatatizo gani?
kwenye thread yako umesema huna uzoefu na biashara,hivyo vi mpesa nk nk,its only begin with u.
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Mkuu biashara ya sembe inatatizo gani?
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Kuna mdau amekushauri biashara ya wese. Nadhani you need to give it a thought. It's lucrative business for people with capital like yours.
Good analysis mdau
Ni kweli mkuu ndio maana nilivyoona tu jibu lile nikacheka sana, wengi hatufanikiwi kwenye ujasiamali kwa kuwa tunatafuta kwanza ela (mtaji) then tunaanza kutafuta idea ya biashara matokeo yake unaweza ukawa una hela nyingi ukawa na mawazo mengi mwisho wa siku unakuwa na uamuzi ambao si sahihi.Unajua huku ktk kitengo cha ujasiriamali napaheshimu,kuna madini sana mkuu,yaani hata km mtu atapost thread za kusadikika,kupitia exposure za wadau mbalimbali tuna gain mambo mengi,na nakushauri mkuu isipite hata siku moja bila kuchungulia kitengo cha ujasiriamali hapa jf,inasaidia sana.
Mkuu Marnah Kwa ushauri wangu mimi mambo uliyoyafanyaSalaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Mkuu Yericko Nyerere Ushauri wako wa kumwambia ajenge nyumba ndio ushauri mzuri kuliko ushauri wa kuweka pesa Bank sio ushauri mzuri Mkuu si unajuwa mambo ya Bank mara Bank imefilisika? na kuhus hizo Pesa alizo kuwa nazo huyu bibie Marnah Tz Shs Millioni 270 sio nyingi kana unavyosema wewe kipesa ya dollar haziwezi hata kuzidi Dollar laki 1 na Elfu 50. Labda kwako wewe huna ndio unaziona ni pesa nyingi pesa za machungwa hizo.Japokuwa umeonyesha chembe ya dhihaka lakini sitosita kukushauri,
Kulingana na maelezo yako ya awali yanaonyesha wazi kuwa pesa hiyo kwako ndio pesa nyingi zaidi uliyowahi kuishika na mazingira ya upataji yalitia shaka kidogo uwezo wakowakuimiliki,
Vema, ushauri wangu nikuwa, endelea kuwekeza hapo kwenye biashara ya nyumba na upangishaji, vilevile biashara ya M-Pesa nk,
Ukitoka nje ya hapo siamini kama utafanikiwa,
Kwa mtanzania wa kawaida milioni 270 ni pesa nyingi sana, usishangae ndugu!
Mungu akutangulie,
hahaha! yap meant 100m nalo pia ni wazo la kibiashara, kama hatakua tayari kutumia anikopeshe nitamrudishia kwa kulipa interest nzuri kabisaaa itampa faida kuliko ikae bank tu na interest zenyewe za bank mvuto mdogo.consultant unaanza na kupiga mzinga 100,000!!!!or u meant 100M???