Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

mambo mengine bana mi sielewi elewi mara nishurin biashaara ya kufanya mara ohh nina nyumba tigo, mara ohh anyway wengine tunaomba japo laki mbili tufanye biashara ya vitumbua wengine wana m 270 hawaoni biashara sio mbaya mama saidia wanawake wenzako warudishe kwa riba
 
Nunua nyumba mbili au hata tatu za vyumba sita sita unaweza ukatumia kati ya milioni 100 hadi milioni 150, uzitengeneze vizuri kama zinahitaji matengezo ili kuvutia wateja kisha uzipangishe.
 
usikurupuke

weka bank as fixed uwe unakula faida kila baada ya miezi 3

huku unaplan mipango yako taratibu na kufanya research taratibu tumia hata mwaka

kufanya research na marketing intelligence ya biashara moja mpaka nyingine

hivyo unavyofanya ndio mwanzo wa kutapeliwa

mil 270 ni nyingi sana ukizizalisha kwa umakini na utaalamu wa hali ya juu na ni ndogo sana zikiamua kupeperuka
so akili kumkichwa

eid njema...

jaman ahsante sana,,....naheshim fikra zako mkubwa
 
Nunua nyumba mbili au hata tatu za vyumba sita sita unaweza ukatumia kati ya milioni 100 hadi milioni 150, uzitengeneze vizuri kama zinahitaji matengezo ili kuvutia wateja kisha uzipangishe.

asante sana mheshimiwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tena mienasema walaa asijenge, maana anaweza kumaliza hiyo pesa na nyumba haijaaisha, bongo hata mafundi wajenzi ni wizi ma contractor wengine wizi. Bora alipie gharama ya juu kidogo kununuwa nyumba au flats zilizokuwa tayari na anaanza kuingiza mkwanja immediately.

cc. Marnah

ahsante sana mpendwa wangu
 
Last edited by a moderator:
mambo mengine bana mi sielewi elewi mara nishurin biashaara ya kufanya mara ohh nina nyumba tigo, mara ohh anyway wengine tunaomba japo laki mbili tufanye biashara ya vitumbua wengine wana m 270 hawaoni biashara sio mbaya mama saidia wanawake wenzako warudishe kwa riba

aya bana,,....si tunasongesha tu,,..ila naomba usiwakejeli wanao uza vitumbua,,...zote ni qadal za Allah
 
mambo mengine bana mi sielewi elewi mara nishurin biashaara ya kufanya mara ohh nina nyumba tigo, mara ohh anyway wengine tunaomba japo laki mbili tufanye biashara ya vitumbua wengine wana m 270 hawaoni biashara sio mbaya mama saidia wanawake wenzako warudishe kwa riba

aya bana ila vitumbua pia ni biashara ivo yatupasa kuheshimiana
 
Dada hongera kwa kukusanya fedha mpaka hapo zilipofikia watu wengi wamekushauri ila na mm naomba nikupe kaushauri kangu.
Hizo fedha fanya kitu ambacho utakua wewe mwenyewe ndiye unafanya na wala sio kumwachia ndugu au mtu mwingine kama kukopesha kwa riba na n.k. utalizwa.
kama hauna interest na biashara naomba jenga nunua nyumba maana hata kujenga ni headache itakusumbua kwani uko bizy na ofisi.
kila la kheri
 
Mkuu biashara ya sembe inatatizo gani?
TUKUTUKU naona hii biashara umeshaelezwa matatizo yake lakini inapasua sana faida kwani sembe limepanda sasa mradi upate punda wa kubeba maana naona hata marna hakurudi hii biashara ni ya wenye fedha maana inapasua zaidi ya x3 bilioni atainusa sasa hivi 270 x3 = 810,000,000.00
Haahahahah msinihukumu ni maoni tu unaweza kuyaaacha
 
Last edited by a moderator:
biashara ya uhakika isiyo na headache ni nyumba

Jenga apartment za kisasa upangishe

Ukishindwa nikopeshe mie.
 
Umeziokota?
Manake unakuwa na 270 mil na haujui za kufanyia nini? Hehehe
 
Hii thread imevunja Record ya coment,tehe tehe

The Best business idea inatoka kwako wewe wenyewe, na si mahali pengine pale, ni katika vitu hivi unaweza pata wazo bora kabisa la biashara

- Matatizo unayo yaona mtaani kwenu, kijijini kwenu au hata taifa kwa ujumla wake, jaribu kubadilisha matatizo kuwa furusa,
- wewe si unaishi? Unakula? Unakunywa, Unatembea, na kazalika, basi huwezi kosa wazo la biashara lilo bora.

Biashara si ishu ya kitoto kama hauko commitment achana na mawazo ya biashara, biashara si ishu ya kufanyia majaribio ni lazim uwe full commitment katika hili na not only commitement but also confidence ya kutekeleza hayo mawazo yako.

Tukumbuke mafanikio katika biashara hayatokani na kuwa na pesa nyingi, bali inatokana na juhudi binafisi za wewe mwenye wazo la biashara.

HIVYO MULETA THREAD KAA CHINI UMIZA KICHWA NA NJOO NA WAZO LAKO, NA HESHIMU WAZO LAKO HATA KAMA LEO LITAONEKANA NI KITUKO MBELE Y WATU LAKINI KESHO LITAKUJA KUONEKANA LILIKUWA WAZO BORA KABISA,

-Mafanikio katika Biashara huanzia kwenye wazo la biashara, belive me ukishindwa kuumiza kichwa chako kutafuta wazo la biashara hata kusimamia biahara yenyewe hutaweza.

You are surrounded by simple, obvious solutions that can dramatically increase your income, power, influence and success. The problem is, you just don't see them.-Jay Abraham
 
Kwa Mda Ambao nimekaa JF... bullshit detector yangu... in charge kila siku....

Kuna mambo mengine yanapoteza mda kuchangia..... kama Unafanya Kazi nje ya nchi na kwa mda ambao umetumia mpaka ku save that much... utakua ushapata exposure ya Kutosha Kueza kuchambua mambo... kata nyanja mbalimbali... trust me..

Haya JF ungekuja Kuomba ushauri ambao uko advanced kidogo... not kama mtoto wa primary school.

Fullstop.
 
Hapo unaweza kufanya kati ya Mambo yafuatayo ;- 1. Andika barua Kwa hakimu mkazi mfawidhi wa wilaya ya kumuomba atumie mamlaka yake ya kuzisimamia mahakama za mwanzo chini ya kifungu cha 30 (2) (b) cha Magistrates' Courts Act, CAP 11 R.E 2002, ukieleza kuwa hujaridhika na amri ya masharti uliyopewa na sababu zingine kama zipo. Jalada litaitishwa na Hakimu na atachunguza mwenendo na uhalali wa masharti hayo kisha atatoa maelekezo Kwa mahakama husika. Kumbuka kwenye variable hii usifanye arguments kama submission, weka facts tu.
2.au mkatae hakimu Kwa kumwambia Huna imani nae. Hii ni njia nzuri japo kuwa ugumu utakuja kuthibitisha Kwa nn huna imani nae ''gruges''
3.Mpe maagizo ''instructions" wakili aombe kuihamishia kesi mahakama ya wilaya Kwa kuwa wakili haruhusiwi kisheria kuingia mahakama Za mwanzo. Ni njia nzuri lakini athari yake ni kwamba utalazimika kumtumia wakili kweli, nyie hamtaki wakili, ikibainika mliidanganya mahakama mtakuwa hatiani nyie pamoja na huyo wakili wenu.Kwa kuwa wakili ni Afisa wa mahakama atapata adhabu kubwa ikiwa ni pamoja na kufutiwa uwakili wake. Ukihitaji kujua zaidi nitafute 0783 401394
 
Jenga msikiti au kanisa kutokana na imani yako hiyo ni biashara bora kuliko zote
 
sina damu ya kiarabu kwamba ntarithi mabasi. majanga, nawaza ntakulaje leo we unawaza mil270 uzifanyie nn? kweli alienicholea ramani peni iligomea njiani.
 
Back
Top Bottom