Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Yericko...naungana na ww. Mi sielewi hii thread inamaanisha ama ni a mere joke tu...
 
Zitunze vizuri sana 2015 waone Mwigulu na Nape wape 50m kila mtu wakutafutie jimbo la uchaguzi 170 zitakazobaki zinatosha sana kufanyia kampeni

kuwa nunua kwa pilau tena mara moja kwa miaka 5
 
Niajiri tufungue company ya maswala ya technology na mawasiliano
 
Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!

Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!


Mi nataka nikuoe.
 
Huyu hana lolote! Mwanzo amesema hana uzoefu wa biashara kwenye kumjibu nyerere anasema ananya biashara ya nyumba(renting) ana mpesa na maduka kadhaa mujini! Anawapotezea muda tu hapa.
 
Salaams Wapendwa wangu,,....!!

Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!

Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!

Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
ambayo
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!

Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??

N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!

Acha kutuzingua wewe. Wenye pesa hawatangazagi kwenye mitandao.....
 
Fanya M-Pesa na Tigo Pesa faida utapata zaidi ya milioni tatu kwamwezi wakati umetumia mtaji wamilioni kumi halafu nunua nyumba kwabei poa karabati nakuuza kama unahitaji taarifa zaidi niPm nibure lakini staki hela yako

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pole yako,,.....badala ya kupambana unaumia roho tena kwa maendeleo ya mwanamke....lol huoni aibu kaka?......badilika ndugu
 
Cha kwanza dadaangu kupanga ni kwamba unataka hela yako ilirud kwa muda gani,yan payback period ili ujue unawekeza katika nini.pia ujue unamuda kiasi gani wa kuweza ku manage biashara yako ili ikusaidie aina ya biashara uanzishayo ili iwe na controlls nzuri ambazo ni simple na zawezafanyika remotely.Cha kwanza dadaangu kupanga ni kwamba unataka hela yako ilirud kwa muda gani,yan payback period ili ujue unawekeza katika nini.pia ujue unamuda kiasi gani wa kuweza ku manage biashara yako ili ikusaidie aina ya biashara uanzishayo ili iwe na controlls nzuri ambazo ni simple na zawezafanyika remotely.Cha kwanza dadaangu kupanga ni kwamba unataka hela yako ilirud kwa muda gani,yan payback period ili ujue unawekeza katika nini.pia ujue unamuda kiasi gani wa kuweza ku manage biashara yako ili ikusaidie aina ya biashara uanzishayo ili iwe na controlls nzuri ambazo ni simple na zawezafanyika remotely.Cha kwanza dadaangu kupanga ni kwamba unataka hela yako ilirud kwa muda gani,yan payback period ili ujue unawekeza katika nini.pia ujue unamuda kiasi gani wa kuweza ku manage biashara yako ili ikusaidie aina ya biashara uanzishayo ili iwe na controlls nzuri ambazo ni simple na zawezafanyika remotely.unaweza funguglobal stationary ambapo itakulazimu kutumia kiasi cha hela yako kufanya marketing by robbing and adivocacy kwenye makampuni na mashirika na maofisi mbalimbali ili upate tenders.pili unaweza tafuta maeneo barabarani mfano dar mbeya au dar arusha au arusha da n.k then jenga hotel simple ya makuti but attractive the fanya robbing na makampuni ya mabasi wapate chakula hapo this project pays much katika hili ukitaka my assistance on how to fing markets will pave it.tatu unaweza tenga 200m then nunu yutong zipige masafa ya mikoan pia kama unapata wasimamizi wazuri ni biashara nzuri japo kwenye kuomba routes zisiwe za mbali sana.pia unaweza tenga 200m ukafungua hardware za maana mbili sehemu tofauti pia zinalipa sana yan supperprofit.ur welcom
 
Fungua ubongo wako wewe,,...kwa mwanaume kuongea pumba ni aibu,,.....tofautisha kati ya kutaka ushauri na kujitangaza
 
Nyumba utaijenga kwa Tshs 70Mil, na kupangisha kwa labda Tshs laki 7 kwa mwezi. So itachukua miezi (Tshs 70Mil/Laki 7) = Miezi 100 (miaka 8) kurudisha hela.

We bana ingia kwenye Kilimo kama vipi. Nunua mashamba au hata kodisha mashamba na ulime. mazao kama Mpunga na Ufuta yanalipa sana. Ufuta ukiuzia shambani ni Tshs 2,500/= kwa Kilo, na ukiuzia kwa wachina au wahindi wa kurasini ni Tshs 4,000/= kwa kg. Heka moja yaweza kutoa mpaka magunia 8 au 10, so utakua na hela yako ndefu tu.

Halafu hela kama hizo usizifanyie pupa. Kama ni hela "umepiga" mahali (sorry kama sio) hua zinakuaga na mzuka sana, but kama umezichanga kidogo kidogo utakua umezizoea, so zisikupe presha sana. Ukitulia unaweza ukazizalisha sana.

Otherwise angalia pia na sisi wanaume, wengine ukitupata tuta-act kama "mario", then hela zikaisha.

Ni hayo tu.

Anatuyeyusha huyo kama hamna mtu mwenye hela kama hyo aje kuuliza utumbo humu ndani anakuja kupima watu wapo vp.
 
Fanya M-Pesa na Tigo Pesa faida utapata zaidi ya milioni tatu kwamwezi wakati umetumia mtaji wamilioni kumi halafu nunua nyumba kwabei poa karabati nakuuza kama unahitaji taarifa zaidi niPm nibure lakini staki hela yako

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

asante kaka naheshim mawazo yako
 
Mpendwa mm ni investor in real estate business si katika kiwango kikubwa bali cha kawaida najua wazo la biashara ni biashara tayari mm hii ndio professional yangu kuandaa business plan ili uweze kukopa na ufanye nn. Nimealikwa maeneo mbalimbali kufundisha ujasiliamali na nimefundisha mambo mbalimbali jinsi ya kuwekesa ktk hisa na real estate. Kama kweli upo serious waweza ni PM tusaidiane cha kufanya

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyu hana lolote! Mwanzo amesema hana uzoefu wa biashara kwenye kumjibu nyerere anasema ananya biashara ya nyumba(renting) ana mpesa na maduka kadhaa mujini! Anawapotezea muda tu hapa.

Umeona yani huyu mama ni mbwiga wa mbwiguke kweli,mwenye mil 270 hawezi kuja uliza utumbo kama wake humu
 
Anatuyeyusha huyo kama hamna mtu mwenye hela kama hyo aje kuuliza utumbo humu ndani anakuja kupima watu wapo vp.

Ha ha ha,

Mkuu kuna hela naifukuzia mahali, nikiipata nitakucheki basi vile viwanja vya kule kigamboni.
Nilikua interested navyo sana, but mipanga ya hela ndio haijakaa sawa.

Back to the topic, huyu dada labda anazo mkuu. Maana kuna wenye hela hizo ambazo ni kawaida yao kuzishika, hawa wanakua wazoefu.

But kuna wale ambao wa"wamezipiga" za ghafla mahali, so inakua ngumu kufanya maamuzi kwa ghafla.
 
Back
Top Bottom