- Thread starter
- #101
Umeona yani huyu mama ni mbwiga wa mbwiguke kweli,mwenye mil 270 hawezi kuja uliza utumbo kama wake humu
endelea kutukana....uko huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona yani huyu mama ni mbwiga wa mbwiguke kweli,mwenye mil 270 hawezi kuja uliza utumbo kama wake humu
Acha kutuzingua wewe. Wenye pesa hawatangazagi kwenye mitandao.....
Ha ha ha,
Mkuu kuna hela naifukuzia mahali, nikiipata nitakucheki basi vile viwanja vya kule kigamboni.
Nilikua interested navyo sana, but mipanga ya hela ndio haijakaa sawa.
Back to the topic, huyu dada labda anazo mkuu. Maana kuna wenye hela hizo ambazo ni kawaida yao kuzishika, hawa wanakua wazoefu.
But kuna wale ambao wa"wamezipiga" za ghafla mahali, so inakua ngumu kufanya maamuzi kwa ghafla.
acha kuwa na mawzo ya kimasikini ukazani vitu haviwezekani hii jf kila mtu yuko huru kuomba ushauri wowote hata kampeni za uraisi watu wanapiga humu sembuse huyu dada kuomba ushauri,kama jf unadhan fb kwa wanuka mikojo soo tafuta sehemu nyingine.hawa watoto wa sekondari inabidi kuwapiga limit kuja huku home of great thinkers ni kero tupu mods anzishen qualification za kuwa members wa jf at least watu wawe na experience ya forums nyingine kwanza tena ikiwezekana muwape na induction on how they are supposed to be herein
Milioni 270 .....!! Nunua uchawi tuuu tumroge mkuu wa kaya maana kazidi ujanja ujanja saaaana.
tatizo ana jicontradict mwanzo alisema hana idea ya bizness yeyote,lakini alivyomjibu Yericko Nyerere akasema kwamba ana apartments mbezi beach na tigo&m-pesa na other bizness!!
Salaams Wapendwa wangu,,....!!
Poleni kwa majukum na mikiki mikiki ya hapa na pale katika jitihada za kutafuta rizki,,...!!
Sina mengi ila nahitaji ushauri wenu wenye busara,,....!!
Mimi ni mwanamke mwenye umri kati ya miaka (20-30),,...sina uzoefu sana wa biashara ila nimeajiriwa kwenye kampuni flani ya Wafaransa+Wataliano ni Sharing Company,,...!!
Katika harakati za kutafuta Pesa nina kiasi kidogo cha Milioni 270 za KITANZANIA yakwangu Binafsi ambayo nafikiria nii ingize kwenye Biashara huku nikiwa naendelea kupiga kazi kama kawaida,,...!!
Sasa naombeni mnishauri nifanye biashara gani ambayo itamudu kiasi icho cha pesa na kunii ingizia faida,,...??
N.B. Sina uzoefu katika Biashara
ahsanteni,,....Eid Njema,,...!!
Usiingie au usiingizwe kwenye biashara yoyote ambayo hauna wakati wa kuisimamia mwenyewe.
Fedha zako nunuwa nyumba iliyotayari au flats (zipo kibao tayari) unakuwa na hati miliki yako na unaiokodisha maraa baada ya kuinunuwa au unayoinunuwa unakuta tayari imeshakodishwa unaanza kuingiza fedha immediately, kumbuka nyumba Dar Es Salaam watu wanalipa kodi in advance hauna kuumiza kichwa wala kuumiza akili.
Na nyumba Tanzania bado zinapanda bei kila siku. million 270 ukinunuwa asset ya nyumba baada ya miaka mitano utakuwa unahesabu hiyo asset million 500 na miaka hiyo mitano umeshakula kodi isiyopunguwa million 6 kwa mwaka.
Usidaganyike na biashara za wabongo ambazo wewe mweyewe huna nafasi ya kuisimamia kwa 120%.
ahsante sana mheshimiwa,,...unajua mtu mwenye fikra finyu na uduni wa hali na mawazo hua wanakua na chuki sana kwa alie jaaliwa kidogo huona chuki ndo njia pekee ya faraja kwake badala ya kupambana na maisha na kujipanga wao hukalia majungu tu,,....ahsante mkubwa,,....pamoja saaana acha waendelee kutukana wako huru after all yangu yanazidi kuninyookea,,.....yaan wanaume wakiwa na sifa ya majungu ni zaidi ya aibu katika jamii,,....bravoo mheshimmiwa
Biashara nzuri jenga nyumba za wapangaji,pangisha hutajuta kamwe maana nyumba bado itakuwa yako.