Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Dada Unamapesa Mengi, Nigawie Mdogo Wako Laki Sita Nifuge Kuku
 
Dadaangu Kuwa Kakini Na Wadau Wanao Taka Mkutane Hzo Fedha Ni Nyingi. Jaribu Biashara Ya Gesi Nasikia Inalipa, Unaweza Kuingia Katika Kilimo Cha Alizeti Singida Kinalipa Sana Na Nicha Uhakika
 


Haya ni Maneno Kuntu,Maneno ya mtu aliyesheheni uzoefu wa Maisha,Full Hekima!!!

 

Habari!
Mimi ni mtaalam wa uchumi kilimo na biashara, huwa naandika miradi mbalimbali hivyo hebu nichek kwa0713659828 ili tushauriane kuhusu biashara sahihi.
 
As I can see you,have the money But no time to supervise your business, by share in twitter company, facebook, emirate airline, sun-city, dstv, total etc
Or,beter still nipe msaada wa sh.1T.sh only
 
kuna biashara itakayokuingizia zaidi ya 270 million mama? u r in a age range ya 20 - 30 n u av 270 ml am sure ulizifanyia kazi bs endelea na hyo kazi
 
kwa kiwango kikubwa cha fedha kama iki na mtu kama wewe invest in shares or fdr( fixed a/c).honestly hatufanani mwenzio am graduate ninamawazo mazuri sana ya busnes but capital ata laki3 cna my sister ikukupendeza nisaidie.but all in all utafanikiwa.
 
Dawa ndo biashara hot kwetu tz. Km Unataka kumiliki Zaidi ya hivo Vicente ulovo navo dawa ndo kila kitu.

Ntunzu natamani kufanya hiyo biashara ya Dawa! Ni dawa za binadamu au mifugo? Msaada ndugu
 

Nimecheka sana hapo mwishoni! Ila ni kweli Mkuu!
 
Katoa fungu la 10 kwa mzee wa upako au Rwakatare uwe unakaa siti za mbele.
 
kuna biashara itakayokuingizia zaidi ya 270 million mama? u r in a age range ya 20 - 30 n u av 270 ml am sure ulizifanyia kazi bs endelea na hyo kazi

Nyie watu siyo waelewa kuna fedha zingine zinakuja kwa deal mara moja unapiga hela! Nyingine urithi, kwa hiyo si ajabu mtu hana uzoefu au idea kabisa ya biashara na akawa na capital Mkuu!
 

Fanyia hiyo hiyo kazi iliyokupatia hizo 270!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Aiseee!......Boti moja shilingi ngapi Mkuu! Hata kwa siku ukilaza milioni si mbaya kama kweli! Mkuu ni pm no yako please!
 

Hamkawii..kulia njaa..hahahha
 

Kula bata, nenda vacation, choma kama 50m Kujionea dunia then ukirudi utapata akili paku invest. Ukikurupuka utashangaa ume invest biashara kibao lakini faida hamna anyways its your call. All the best.
 
Kula bata, nenda vacation, choma kama 50m Kujionea dunia then ukirudi utapata akili paku invest. Ukikurupuka utashangaa ume invest biashara kibao lakini faida hamna anyways its your call. All the best.

nakuunga mkono mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…