Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

Hello Marnah, wakati unafikiria cha kufanya unaweza ukanunua Government Bond, it is risk free.

Million 270 in a real business world si pesa nyingi sana na usishangae kama unatumia within no time zikaisha!

Usifanye biashara ambayo huna competency nayo wala interest nayo, you wont make it.

Ukikosa Biashara ya kufanya, tafuta kiwanja/viwanja karibu na Vyuo, Jenga Hostels za wanafunzi, vyumba vidogo lakini vingi. It will pay. Unaweza pia kununua nyumba maeneo hayo ukayakarabati.

The best you can do, ni kutafuta mtaalamu katika mambo ya Investments & Business Planning. Experienced Consultant akiongea na wewe anaweza akakusaidia exactly what business you can do.

Good luck!
 
Last edited by a moderator:

Umezipataje hizo millioni? Then unakuja na kimbelembele chako ati nifanyie nini? You just misjudged our intelligence. LOL. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chubiri manyang'au watakuhabarisha.
 
We inatiyeyusha tu...kwanza una miaka 20 hivi kulingana na post yako ya ukavu wa vagina huko juu...
1. Kwa umri huo umepata wapi 270m
2. We husomi?
3. Wazazi wako hawawezi kukushauri?
4. Mumeo je kwa mujibu wa jibu lako kwamba uko married yeye hajui lolote
5. Wewe ulipanga ufanye nn kwa sababu haiwezekani ukawa mbulula kisha una kisu hivyo.
 
Umefanya kaz katika kampuni hiy kwa muda gan mpaka kuwa na kias hicho,Isijekuwa ndo kampun zinazoendesha biashara haramu
 
Ni pm nitakushauri ninaexposure kubwa ya kugundua profitable business. Na hata ukitaka kuingia ubia nami haina shida.

mmmh mate yanakutoka tu yy hataki ubia na wala hajataka mambo ya pm hapa weka ktu kweupe usimvutie uchochoroni umkabe
 
Dawa ndo biashara hot kwetu tz. Km Unataka kumiliki Zaidi ya hivo Vicente ulovo navo dawa ndo kila kitu.
 
Mnapoteza muda wenu kumshauri....we unakusanya hela bila malengo si ujinga huo
 


Kama hujui biashara umeipata wapi?
 


Kama hujui biashara umeipata wapi? Na hizo harakati za kutafuta pesa kama siyo biashara basi ni jambazi. Sina ushauri mkuu nahisi ni pesa chafu hiyo, sembe nk.
 
Wabongo kwa sifa!!mi simo

huo ni wivu.....chuki au roho mbaya??kejeli hazisaidii,,....pambana ufike tuliko fika,,....dharau hazitakusaidia chochote,,...badilika ujikwamue,,...utabakia kukejeli,,...wenzio Mungu anazidi kutunyooshea
 
Zitunze vizuri sana 2015 waone Mwigulu na Nape wape 50m kila mtu wakutafutie jimbo la uchaguzi 170 zitakazobaki zinatosha sana kufanyia kampeni
 
Kama hujui biashara umeipata wapi? Na hizo harakati za kutafuta pesa kama siyo biashara basi ni jambazi. Sina ushauri mkuu nahisi ni pesa chafu hiyo, sembe nk.

hahahhahh watu wenye upeo finyu huongoza kwa chuki na roho mbaya,,....endelea kuungua roho wenzio tunazidi kupeta,,...pole yako
 
Zitunze vizuri sana 2015 waone Mwigulu na Nape wape 50m kila mtu wakutafutie jimbo la uchaguzi 170 zitakazobaki zinatosha sana kufanyia kampeni

nashukuru pia naheshim mawazo yako mheshimiwa
 

ahsante mheshimiwa,,...will work on it
 
Last edited by a moderator:
naona mengi yamesemwa lkn mwisho sikiliza maoni ya kichwa chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…