Kamawewe
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 533
- 521
Mkuu ninajua real estate imekuwa ngumu na wazo langu hapo limezingatia hali ya sasa.Hongera kwa mawazo mazuri...lakini kwa maisha ya sasa kuna biashara itakubidi uzizike!...things changed alot!..hizi mishe za real estate sidhan kama kwa hapa kwetu zinalipa tena! Au mie sielewi!
Kwwmba ajenge nyumba kwa mfano atumie 50m..then apangishe kila mwezk kwa 300k!...wakati kuna biashara nyingine zinazolipa zaidi!!... Au mie nafikiri kinyume nyume!...
Pamoja na mazingira ya sasa unadhani wafanyakazi ambao bado familia ndogo au wameanza kazi wa mashirika mabenk,makampuni makubwa, wakuu wa idara au halmashauri za serikali wanakaa wapi?
Au ata watumishi wenye uwezo na umri lakini wanaishi mbali na familia wanaishi wapi?
Kilichotokea wafanyakazi niliowataja wameacha kupangishia vimada na kurudi kwa familia zao na kukwepa majumba ya kulipa laki tano nne sita ndio maana nikasema sio mijumba mikubwa apartment ambazo hazifiki Million 50, ninachokiongea millioni 50 ni aparment tatu.
Pamoja na hali ya sasa wafanyakazi wa sehemu kama TRA,PSSF,CRDB,TANRAOD,NMN,NSSF, wakuu wa idara halmashauri au kwa RAS, Medical Doctors,makampuni makubwa, kwenye hiyo mikoa unadhani wanakaa kwenye nyumba za elfu hamsini? hapana wanaishi kwenye apartment au myumba za laki mbili au zaidi.
Ata wewe kama unapata reasonablle income, umeelimika,una familia ndogo huwezi kukaa nyumba ya 50,000.00 labda kama ulichukua mkopo wa gari ukabakiwa na mshahara wa laki mbili na nusu. [emoji16][emoji16][emoji16] just joking.
Whatever challenge, what matters is your business model and customer target.
Sent using Jamii Forums mobile app