Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.
Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.
Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi Kibamba, Kiluvya.
Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni rahisi kuja na kurudi Ubungo.
Naweza kupata wakuu, kwa bajeti yangu na maeneo nilotaja?