Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.

Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.

Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi kibamba, Kiluvya.

Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni rahisi kuja na kurudi Ubungo.

Naweza kupata wakuu, kwa bajeti yangu na maeneo nilotaja?

Njoo uchukuwe 12 kwa 26 umeme na maji vipo njoo maramba bei ni milion 6
 
Njooni niwape kiwanja kwa milion 6 kipo Malamba umeme na maji vipo eneo la kiwanja! Balabala za mtaa zimepita ukubwa ni 12 kwa 26
 
Njoo king’azi upate eneo kubwa mita 18 kwa 17 bei 4,800,000 lipo sehemu nzuri sana piga simu 0652788410
 
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.

Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.

Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi kibamba, Kiluvya.

Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni rahisi kuja na kurudi Ubungo.

Naweza kupata wakuu, kwa bajeti yangu na maeneo nilotaja?
Utapataa mbezi malamba mawili
Dm for.more info
 
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.

Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.

Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi kibamba, Kiluvya.

Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni rahisi kuja na kurudi Ubungo.

Naweza kupata wakuu, kwa bajeti yangu na maeneo nilotaja?
Badirisha stori
 
Back
Top Bottom