Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

Kuna kiwanja kinauzwa wilaya ya ilala Kitonga.. ( tayari kina msingi)
Tayari Kuna shimo la choo lililojengewa.
Vyumba vitatu, sitting room na dyninmg room na choo Cha ndani..
Kuna ramani ya umeme...
Msingi kozi nane kutoka chini full nondo na cement.
Urefu Ni futi 50 kwa 45.
Bei 4m
0784312904
Wilaya ya ilala ndio wapi ,hizo futi ndio mita ngapi kwa ngapi
 
ACHA KUAHANGAIKA NA NYUMBA ZA KUPANGA.
NJOO KIBAHA KWA MFIPA NIKUPE KIWANJA CHA 20*20 KWA MIL. 2.8
JENGA CHUMBA CHAKO MASTER NA SEBLE UNAANZA MAISHA.TOFARI 1000 NYUMBA IMEKAMILIKA. MCHANGA UKO HAPO HAPO UWANJANI KWAKO. TOFARI 1 UKU NI 850 MPAKA SITE
0789411234
 
Mfukoni (actually ni kwenye account ya TigoPesa) nina milioni tano taslimu.

Natafuta kiwanja upande wa kuanzia Ubungo kwenda Goba, Salasala, Tegeta, Madale, hadi Bunju.

Lakin pia Ubungo kwenda Kimara pande zote, Mbezi huko msakuzi, hadi kibamba, Kiluvya.

Kifupi tu nalenga maeneo ambayo ni rahisi kuja na kurudi Ubungo.

Naweza kupata wakuu, kwa bajeti yangu na maeneo nilotaja?
Maeneo ya Mbopo, Mabwepande utapata 20x20 kwa 4,000,000. wasiliana na 0714432979 au 0768181907
 
Bado kipo
Specifications:
Ukubwa: ngapi kwa ngapi

Hali ya umiliki: wewe ndio mmliki, ndugu, dalali

Umbali: kutoka Morogoro road, kufikika kwake... Mfano kutokea Mbezi mwisho stand (Yan mtu akitaka kwenda kupaona anafikaje). NB Mbezi mwisho napajua, lakin Mpiji magoe sijawahi fika
 
Mkuu kama unafanya kazi maeneo ya Ubungo nipe mawasiliano yako tutajadili kuhusu kiwanja maeneo ya Msumi na MpigiMagoe.
Mimi kituo changu cha kazi ni karibu sana na Ubungo.
 
Tajiri njoo Kibaha utapata viwanja kwa bei rahisi sana ...Kibaha kongowe viwanja vipo bei nzuri sana ... afu soon barabara wataitanua mpaka chalinze ...fikiria 5years to come ...acha kujibana hapa dsm ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHA KUAHANGAIKA NA NYUMBA ZA KUPANGA.
NJOO KIBAHA KWA MFIPA NIKUPE KIWANJA CHA 20*20 KWA MIL. 2.8
JENGA CHUMBA CHAKO MASTER NA SEBLE UNAANZA MAISHA.TOFARI 1000 NYUMBA IMEKAMILIKA. MCHANGA UKO HAPO HAPO UWANJANI KWAKO. TOFARI 1 UKU NI 850 MPAKA SITE
0789411234
Viwanja bado vipo?
 
Back
Top Bottom