Nina milioni tano, naweza pata kiwanja upande huu wa Dar es Salaam?

Yaani aweke million 5 leo baada ya miaka 5 apate 20Million?
Mbona tuhela tudogo sana?
At least ingekuwa million 50 kwenda juu.
Hiyo pesa ni ndogo kulingana na mazingira mkuu na kile anachotaka kufanya mtu
 
Yaani aweke million 5 leo baada ya miaka 5 apate 20Million?
Mbona tuhela tudogo sana?
At least ingekuwa million 50 kwenda juu.
Nyie ndio wale mabinti ambao mnakufa masikini, lets assume una biashara yako ya milioni 5 je una uhakika wa kupata hiyo milioni 15 as a net profit for five years?

Humu ndani nimegundua wengi wenu mnajibu kwa dharau ila kwenye uwanja wa mapambano ni watu wa kawaida mno.
 
[emoji23]

Wemgi wanajibu kwa dharau tu but sure wana financial illiteracy and
 
1. Kwenye mabinti maskini nitoe kabisa yaani huko sipo kabisa.

2.Hujui nafanya biashara gani ila kwa ufupi tu mie 5m January mpaka December nina 15M.

3.Mimi jembe jembe kweli yaani mpambanaji hatariii huo uwanja wa mapambano unaosema wewe mimi ndo captain sasa.
 
Unataka tuweke faili lako humu ndani, mbona umekuwa unajipambanua sana, mimi mpambanaji, labda nikuulize hapo ulipo una 10M cash ya kwako wewe binafsi kwenye akaunti yako?
 
Kiwanja utapata, tena hata kwa pesa pungufu ya hiyo uliyonayo. Tatizo ni namna unavyotaka kulikamilisha hili jambo.

Hapa itapigwa miluzi mingi hadi upotee maboya, usipokua makini unakuja kutahamaki unalalamika tozo ziko juu sana kufanya miamala. 5 M haipo na kiwanja huna.
 
Wemgi wanajibu kwa dharau tu but sure wana financial illiteracy and
Watu wengi hawana elimu ya bishara matajiri wote mnaowaona wametapakaa hata huko mikoani, fuatilia imewachukua zaidi ya miaka 20 kusimama hapo walipo.

Humu ndani watu wanachukulia biashara kawaida, kuna watu wanafanya biashara ya uchuuzi mdogo mdogo nao wanajiweka katika makundi ya wafanyabisahara ili hai hata kodi hawalipi.
 
Unataka tuweke faili lako humu ndani, mbona umekuwa unajipambanua sana, mimi mpambanaji, labda nikuulize hapo ulipo una 10M cash ya kwako wewe binafsi kwenye akaunti yako?
🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi nina akaunti ya kampuni bwana.
Ninavimbia akaunti ya boss.
Sina pesa yeyote.
Yea mpambanaji ndiyo.
File utakuwa umechelewa maana liko hewani siku nyingi sana.
 
Unapata nenda madale ndani ndani unapata 20 kwa 25 kwa 3m ila uwah kukijengea ukuta kuna wavamizi kibao utakuta kimeuziwa mwingine au kimechukuliwa

Nimenunua hapo ekari moja kwa bei chee sana
 
Back
Top Bottom