Napinga, biashara hata 5000 inatosha kuanzaKwanini hiyo pesa usiiweke mpaka ufikishe milioni saba mkuu ukafanya kitu cha maana kuliko hivo unavotaka kufanya wewe
Acha uwongo wewe bishara gani utafanya kwa elfu tanoNapinga, biashara hata 5000 inatosha kuanza
1. FrijiNina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub.
Nianze na nini na nini?
Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
Sitakujibu , watakujibu waungwanaAcha uwongo wewe bishara gani utafanya kwa elfu tano
Kwamba pesa ukiiweka inaongezeka ?Kwanini hiyo pesa usiiweke mpaka ufikishe milioni saba mkuu ukafanya kitu cha maana kuliko hivo unavotaka kufanya wewe
Basi hakunaSijakujibu , watakujibu waungwana
Uwezi anza glocary na mtaji wa milion moja ni kama unacheza..Kwamba pesa ukiiweka inaongezeka ?
By the way nadhani muuliza swali ndio mwenye jibu kulingana na mazingira yake ? na ni kipi cha kuanza nacho nadhani ni obvious (pombe); na kutokana na mzunguko ni pombe kiasi gani anatakiwa kuwa nayo kabla ya delivery ya mzigo mwingine
🚮Uwezi anza glocary na mtaji wa milion moja ni kama unacheza..
Ndo mana nikatoa ushauri tu
Kuunza ndizi mbivu stendAcha uwongo wewe bishara gani utafanya kwa elfu tano
1. FrijiNina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub.
Nianze na nini na nini?
Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
Biashara zimebakwaKuunza ndizi mbivu stend
Mno bwasheeUsisahau kutuwekea mdada mweupe mwenye wowowo kubwa wa kuchangamsha kibaa chetu, kipimo kiwepo na sabufa usisahau
Tupo nyuma yako mkuu😎
Leseni wapi? Anaanzisha Gracious au Container bar?1. Friji
2. Leseni
3viti na meza