Nina Millioni 1 nataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua grosari (mini pub)

Sa milioni saba unaifanyia nini? Biashara ya kueleweka walau mil kumi
Kuna watu hapa wanaanza kunishambulia..
Hv seriously mtu anajipanga et biashara aanze na milion 1 hapo anafanya biashara au anacheza
 
Ndiyo yale ya mteja anakuja anaagiza Safari lager anaambiwa zimeisha na akiagiza Heineken anaambiwa pia zimeisha.
Ahahahha kubabek😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Hata machinga wanatakiwa wawe na leseni na TiN ila hawana,ndiyo bongo ilivyo
TIN ni number ya mlipa kodi kwahio wewe hata kama una leseni ya udereva, ulishaagiza mzigo au ulishawahi kulipa kodi popote pale unatakiwa kuwa na hii number; Leseni ni kibali cha kufanya biashara fulani kwahio machinga ambao mtaji wao ni chini ya threshold fulani hawana ulazima wa kuwa na leseni ya kufanya umachinga (au muuza genge la nyanya) ukija kwenye vileo ina leseni yake tofauti / ya ziada inaitwa leseni ya vileo; kwahio wewe hata ukiwa na duka lako la bidhaa nyingine na una leseni ya duka; kama unauza vileo watakuuliza leseni ya Vileo
 
Upo mkoa gani mkuu.

Kila eneo lina mchanganuo wake, maeneo mengine hiyo pesa ni kodi tu wakati maeneo mengine huo ni mtaji tosha kabisa.

Kwa vinywaji vya kuanza navyo 300k inatosha hiyo nyingine kodi, viti, meza, mziki uchwara nk.

Usisahau pia kua na flash yenye ngoma za kutuhamasisha kama hizi

View: https://youtu.be/OulH4OZ3a68?si=zUfmX446qIGPk3m8
 
TIN ni number ya mlipa kodi kwahio wewe hata kama una leseni ya udereva, ulishaagiza mzigo au ulishawahi kulipa kodi popote pale unatakiwa kuwa na hii number; Leseni ni kibali cha kufanya biashara fulani kwahio machinga ambao mtaji wao ni chini ya threshold fulani hawana ulazima wa kuwa na leseni ya kufanya umachinga (au muuza genge la nyanya) ukija kwenye vileo ina leseni yake tofauti / ya ziada inaitwa leseni ya vileo; kwahio wewe hata ukiwa na duka lako la bidhaa nyingine na una leseni ya duka; kama unauza vileo watakuuliza leseni ya Vileo
Kuna ambao unawaona mtaji wao umezidi kabisa na hawana
 
Huko ni kuvunja sheria na mtu akija kukuomba ushauri je utamshauri kwenye kadamnasi kabisa avunje sheria au yeye mwenyewe ndio ajiongeze ?

Binafsi najua dogo mmoja alitoka Bush na kuingia town akafungua genge la kuuza pipi, vocha, soda na sigara (ingawa alikuwa na sigara kubwa pia) as well as viroba na pombe kali...., huyu dogo alikuwa anafanya kazi mchana kutwa na kuajiri watu ili wakeshe na kuuza usiku kucha pia (wateja walikuwa wanajua kwamba kuna pombe ) na nadhani hata polisi alikuwa anawapa pesa (kisheria sio tu hakuruhisiwa kuuza hata hivyo vileo bali hata angekuwa angeomba hio leseni asingepewa (hana premises) na hata angekuwa na premises kuuza usiku kucha na watu kunywa hapo bado ni kuvunja sheria.... (now ukiangalia mtaji aliotumia na income aliyokuwa anapata kwenye viroba pekee nadhani return on investment ilikuwa inawazidi hata wenye Bar...
 
Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub.

Nianze na nini na nini?
Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
Toa kalaki kamoja, agiza kreti la castle lite, konyagi ndogo, kunywa na Wana, hapo hapo pub ulipo fanya tathimini
 
Huko ni kuvunja sheria na mtu akija kukuomba ushauri je utamshauri kwenye kadamnasi kabisa avunje sheria au yeye mwenyewe ndio ajiongeze ?

Binafsi najua dogo mmoja alitoka Bush na kuingia town akafungua genge la kuuza pipi, vocha, soda na sigara (ingawa alikuwa na sigara kubwa pia) as well as viroba na pombe kali...., huyu dogo alikuwa anafanya kazi mchana kutwa na kuajiri watu ili wakeshe na kuuza usiku kucha pia (wateja walikuwa wanajua kwamba kuna pombe ) na nadhani hata polisi alikuwa anawapa pesa (kisheria sio tu hakuruhisiwa kuuza hata hivyo vileo bali hata angekuwa angeomba hio leseni asingepewa (hana premises) na hata angekuwa na premises kuuza usiku kucha na watu kunywa hapo bado ni kuvunja sheria.... (now ukiangalia mtaji aliotumia na income aliyokuwa anapata kwenye viroba pekee nadhani return on investment ilikuwa inawazidi hata wenye Bar...
Ni kweli nawaona wengi wa hivyo. No city vinafanyika sana
 
Kuna sisi tumewahi fanya biashara Kwa mataji wa uaminifu yaani unaenda Kwa mangi unachukua mahitaji unakaa stend kuzungusha ukiisha unafuata Tena!!

Unatoka na faida ya ten au zaidi !
Niambie hiyo biashara faida ten kwa siku nifanye sasa..
Hapa nina laki mbili,, achana na uaminifu nina pesa na uaminifu ninao..

Nipe mchanganuo hapa full nianze biashara hata leo
 
Mkuu biashara si kama ukibanwa kwenda kunya unaenda. Inahitaji dhamira thabiti (passion)kutoka moyoni.

Ni sawq na kazi zingine sio kukurupuka tu.

Hiyo laki mbili yako nenda sokoni kanunue mahindi mabichi kwa bei ya jumla utauziwa sh 300 kila hindi moja.
Nunua pisi 500 sawa na 150k

Wewe utauza kwa 500 kila hindi moja baada ya kuchoma.

Ukiuza yote utapata 250k

Kisha nunua mkaa debe 3 huku debe linauzwa sh 10k sawa na 30k

Kodi majiko ya kuchomea 4 kila jiko ni 3000 kwa siku sawa na 12k

Ajiri wachomaji vijana wa 4 kama wewe hutafanya kisha wagawie mahindi hayo kwa idadi sawa kulingana na maeneo utayowasambaza.

Hao utawalipa 5k jumla sh 20k kwa watu 4.

Gharama zake zitakuwa 212,000/=

Mauzo yote Tsh 250,000/=

Hapo utapata faida ya 38,000/= JAPO INAWEZA KUPANDA AU KUSHUKA LAKINI HIYI 10K HUWEZI KOSWA KWA SIKU. LABDA UWE HUJAAMUA.

Kila kitu ni maamzi mkuu hapa mimi nimeanza maandalizi nahitaji nipande nyanya mashina 400 tu kisha nitafute faida ya m2.

Calculations zipo hivi

Kulimiwa Tsh. 20k (amelima)
Kutifua na kuchimba Massimo 15k(amefanya hivyo)
Mbolea pamoja na kusombewa na Bajaji 25k (imesombwa)

Mbegu ni Tsh 48,000 zilizo tyr kupandwa.

Madawa hayatazidi 150k

Mbolea za viwandani Tsh 60k.

Hapa nitahusika kwa 70% mimi mwenyewe na 30% familia
(Huwa najilipa pia kila mwezi 50k
hivyo kwa miezi 4 ni sawa na 200k)

Nimefanya hivyo badala ya kutoka job na kwenda gym au jogging nguvu hizo nizifanyie kazi ya kuniingizia kipato.

Kazini huwa natoka saa12:00 na saa12:20 nipo home kuanzia saa huo muda hadi saa2 usiku unatosha kumwagilia hilo shamba.

Mwisho.
 
Sasa wewe ndo genius...
Mkuu nimepa mchanganuo mzri sana saan sana aiseee an mkuu niseme tuu upo vzr kwa biashara sijui kama unachangiaga mawazo kule kwa nyuzi za biashara maana issue ya mchanganuo wengi hawatoi yaan unakuta wanatupa blaa blaa tuu..
Shukrani sana sana mkuu sasa hpa nina uwezo wa kuanza kufanyia kazi ushauri wako
 
Kama hujui cha kuanza, hii biashara hujafanya utafiti na usiifanye
 
Sasa wewe ndo genius...
Mkuu nimepa mchanganuo mzri sana saan sana aiseee an mkuu niseme tuu upo vzr kwa biashara sijui kama unachangiaga mawazo kule kwa nyuzi za biashara maana issue ya mchanganuo wengi hawatoi yaan unakuta wanatupa blaa blaa tuu..
Shukrani sana sana mkuu sasa hpa nina uwezo wa kuanza kufanyia kazi ushauri wako
Ahsante sana. Mimi Nature ni kilimo na ufugaji japo hata biashara nimewahi fanya na ninaweza.

Huo ni mfano tu unaweza fanya zaidi ya hiyo kulingana na eneo ulilipo.

Na research utakayofanya mahindi kila mahali yanalipa penye mwingiliano wa watu
 
Mkuu naomba niwe nakupa update ya sehemu nilipo ili nipate ushauri zaidi...

Maana wengi tunajikuta tunafanya tu ila ile basic hatuna kabisa an at least umenifungua kwa michanganuo yako...

Sema umesema unalima nilitamani sana kulima ila kwa haraka haraka nikaona kilimo kina risk sana kwa sisi begginer mkuu hii imekaaje
 
Back
Top Bottom